kuna michezo ambayo ilitokea kupendwa sana enzi hizo. michezo hii iliyovuna nitataja hapa michache nawe kama unakumbuka tafadhali ongezea kenye hii list, mana kila sehemu ilikuwa na michezo yake
1. Baba na Mama........
2. tayari Bado.....
3. Kibunzi kibunzi......
4. kuogelea kwenye mifereji mvua ikiwa imenyesha
5. kutengeneza magari ya mabati
6. mpira wa miguu wa makaratasi ya nailoni (tulikuwa tunaita sambi au chandimu)
7. Tiara
8. Kuruka kamba
9. rede
10. golori
11. kupigana baada ya mechi kati ya timu moja na nyingine hasa kama tumefungwa
12. kucheza mziki kwenye harusi
13. kiboleni
14. kuwalazimisha mbwa kufanyana
pamoja na nyimbo zake maua ya bustani ya mechanua, akina dada siri zenu tunazijua..............
asiyependa shule ni mjinga kabisa......................
nilikwenda kwa dada, nikamkuta shemeji anadish ugali, nikadishi kidogo...............................
- Mi nakumbuka madobo kubitika...nlipigwa mpaka nikajikojolea!
- mbili mbili au tatu tatu..kuwahi magari hiyo yakiwa na namba zinazofanana!
- Nani kafa mwaka huu, Nyerere-re; Remi mkali-li; Linda na Vita-ta, Taa nyekundu-ndu; Ndugu watanzania leo yametimia..(wimbo)
- Kupika kwenye vifuu wakati wa kibaba na mama (na nlipenda sana kuwa mtoto, maan kitu ambacho baba alkuwa hajui..mimi ndo naget kuspend na mama sana yeye akienda kazini..akirudi nasingizia kulia..wakilala jogoo anawika baada ya dakika moja wameamka, wala hajaenjoy kitu! Ilikuwa nisipokuwa mtoto sichezi..nalia kabisa!!!)
- Mpira wa makaratasi tena kwenye matope..usinisemeee!
- Umenipa topic ya kuanzisha....b back soon (check it out on jokes..lol!):smile-big::smile-big::smile-big: