Michezo iliyopata kupendwa sana enzi za zamani

Gudboy

JF-Expert Member
Aug 14, 2009
867
77
kuna michezo ambayo ilitokea kupendwa sana enzi hizo. michezo hii iliyovuna nitataja hapa michache nawe kama unakumbuka tafadhali ongezea kenye hii list, mana kila sehemu ilikuwa na michezo yake

1. Baba na Mama........
2. tayari Bado.....
3. Kibunzi kibunzi......
4. kuogelea kwenye mifereji mvua ikiwa imenyesha
5. kutengeneza magari ya mabati
6. mpira wa miguu wa makaratasi ya nailoni (tulikuwa tunaita sambi au chandimu)
7. Tiara
8. Kuruka kamba
9. rede
10. golori
11. kupigana baada ya mechi kati ya timu moja na nyingine hasa kama tumefungwa
12. kucheza mziki kwenye harusi
13. kiboleni
14. kuwalazimisha mbwa kufanyana
 
bila kusahau kombolela huu ndio ulikuwa mchezo wangu wakupata totoz
 
20. tiari, badoooo..
21. kipapatio... chakukuuu.. mwenye kupata... apatee... kuku gani ...mweupe.. analiaje...
22. pinch...
23. stop..!
24. ukuti ukuti..
25. ulingo.. mayoyoooo...
26, watoto wangu eeh...
 
-Hamsini kubong'oa
-Senema senema, na milanzi mchezo wa kitoto senema na milanzi!!
 
tehe tehe....... Uki; Sariapoo, kibunzi kibunzi, ana nana doo .......... kajambia.............;

pamoja na nyimbo zake maua ya bustani ya mechanua, akina dada siri zenu tunazijua..............
asiyependa shule ni mjinga kabisa......................
nilikwenda kwa dada, nikamkuta shemeji anadish ugali, nikadishi kidogo...............................
 
banchikicha, banchikicha chikicha chikicha ................

By show I love you baby...........................

kuruka kamba; kwa msitu dawa.... nalikwenda msituni na kobe akanililia!!

Ilikuwa raha jamaniiiiiiiiiiiii!!
 
shiba nile (mwenzako akiwa amenunua kitu,au anacho then ukimuwahi sio chake tena)
 
banchikicha, banchikicha chikicha chikicha ................

By show I love you baby...........................

kuruka kamba; kwa msitu dawa.... nalikwenda msituni na kobe akanililia!!

Ilikuwa raha jamaniiiiiiiiiiiii!!

Hapo kwenye bold umenivunja mbavu daaahhh yaani!. Dah umenikumbusha mbali ile mbaya yaani Shinyangaaaaaaaaaaaaaaaa enzi hizo duhhh u made my day Mkuu
 
jamani umenitoa machozi ya furaha...wat!

- Mi nakumbuka madobo kubitika...nlipigwa mpaka nikajikojolea!
- mbili mbili au tatu tatu..kuwahi magari hiyo yakiwa na namba zinazofanana!
- Nani kafa mwaka huu, Nyerere-re; Remi mkali-li; Linda na Vita-ta, Taa nyekundu-ndu; Ndugu watanzania leo yametimia..(wimbo)
- Kupika kwenye vifuu wakati wa kibaba na mama (na nlipenda sana kuwa mtoto, maan kitu ambacho baba alkuwa hajui..mimi ndo naget kuspend na mama sana yeye akienda kazini..akirudi nasingizia kulia..wakilala jogoo anawika baada ya dakika moja wameamka, wala hajaenjoy kitu! Ilikuwa nisipokuwa mtoto sichezi..nalia kabisa!!!)
- Mpira wa makaratasi tena kwenye matope..usinisemeee!
- Umenipa topic ya kuanzisha....b back soon (check it out on jokes..lol!):smile-big::smile-big::smile-big:
 
Daaah mwanangu hii ya ukweli!!
but mimi Kombolela na kibaba na mama ilikua inanipa mzuka kichizi.:target::target:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom