Gudboy
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 867
- 77
kuna michezo ambayo ilitokea kupendwa sana enzi hizo. michezo hii iliyovuna nitataja hapa michache nawe kama unakumbuka tafadhali ongezea kenye hii list, mana kila sehemu ilikuwa na michezo yake
1. Baba na Mama........
2. tayari Bado.....
3. Kibunzi kibunzi......
4. kuogelea kwenye mifereji mvua ikiwa imenyesha
5. kutengeneza magari ya mabati
6. mpira wa miguu wa makaratasi ya nailoni (tulikuwa tunaita sambi au chandimu)
7. Tiara
8. Kuruka kamba
9. rede
10. golori
11. kupigana baada ya mechi kati ya timu moja na nyingine hasa kama tumefungwa
12. kucheza mziki kwenye harusi
13. kiboleni
14. kuwalazimisha mbwa kufanyana