Gari Moshi
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 682
- 421
Dah.....Dadako hana chupi???
huenda lao lilikuwa moja na walikuwa wanakuona boya tu, na huenda walikuchuna hela ya kutosha wameamua tu kukuonesha kuwa wanafahamiana na wanakuchora tu.
kuna kitu sijaelewa, picha za mke wako wamezipata wapi?
Unapenda kuniona mie tatizo eeh?Dah.....
Dah...sivyo hivyo...ila kuna MTU haumtendei haki...tena wala hana hatia [emoji87]Unapenda kuniona mie tatizo eeh?
Mkuu ushauri wako nimeupenda sana aiseee,uko makini.Kata hangover kwanza kabla ya kuanza fikiria cha kufanya.
Kwa hiyo mkuu unataka kusema alichokiona siyo kweli e ni mapicha tuu?Hakuna lolote ni hangover zako tu
Swali la msingi sana hilo,atoe majibu ili tujue.huenda lao lilikuwa moja na walikuwa wanakuona boya tu, na huenda walikuchuna hela ya kutosha wameamua tu kukuonesha kuwa wanafahamiana na wanakuchora tu.
kuna kitu sijaelewa, picha za mke wako wamezipata wapi?
utoto tu bado upo kichwani nafkiriivi mtu una mke,bado unahangaika na mashankupe ya mjini ya kazi gan?
Mkuu swali lako zuri kweli,ila hata siyo yeye ni kichwa cha chini kimeamua kuchukua hatamu ya maamuzi.ivi mtu una mke,bado unahangaika na mashankupe ya mjini ya kazi gan?
Hata mie sitendewi haki piaDah...sivyo hivyo...ila kuna MTU haumtendei haki...tena wala hana hatia [emoji87]