Bigsamkatty7819
Senior Member
- Feb 12, 2016
- 116
- 76
4/46 ni nyingi mkuu, hii ni karibu 10%, na hizo ni zile tu unazozijua wewe. Kumbuka lengo la Mungu ni kuwa watu waishi pamoja mpaka kifo kiwatenganishe. Kwahiyo ukiona 10% ya ndoa zinavunjika ujue kuna tatizo. Ukweli ni kwamba ndoa nyingi ziko kwenye matatizo sana na isingekuwa kuogopa sheria ya Mungu ya kutoachana basi naamini nyingi sana zingevunjika. Kitu kingine kinachosababisha watu wavumilie kwenye ndoa ni complications zinazotokana na kuachana, kwa mfano kugawana mali, mustakabali wa watoto, n.k. Tulio kwenye ndoa tunafahamu ndoa nyingi ziko matatizoni, na sababu kubwa ni kukosa uaminifu kati ya wanandoa.Hali ya ndoa nyingi siyo kama inavyoongekea, nafikiri kuna chumvi nyingi juu ya tuhuma hizi. Marafiki zangu, ndugu zangu, wafanyakazi wenzangu wengi tu wako happy kwenye ndoa zao. Ni wachache tu wenye figisu figisu.
Halafu pia Ndo nyingi hazivunjiki kama inavyosemwa. Nimejaribu kuangalia katika ma classmate, workmates na ndugu ninaowafahamu ambao wamefunga ndoa kuanzia 2005, ni wa 4 tu kati ya 46 ndo wametengana, mmoja sababu ya michepuko ya mwanamke, wawili tabia za wanaume lakini siyo michepuko, na mmoja tuhuma za ushirikina kwa mwanamke.
Nafikiri tunapenda ku generalize sana mambo bila kuwa na data. Naamini ndoa nyingi ziko imara na zina upendo ukiacha mikwaruzano ya hapa na pale ambayo ni kawaida sana.
Bora umesema mkuu...Hiki ni kizazi hatari sana4/46 ni nyingi mkuu, hii ni karibu 10%, na hizo ni zile tu unazozijua wewe. Kumbuka lengo la Mungu ni kuwa watu waishi pamoja mpaka kifo kiwatenganishe. Kwahiyo ukiona 10% ya ndoa zinavunjika ujue kuna tatizo. Ukweli ni kwamba ndoa nyingi ziko kwenye matatizo sana na isingekuwa kuogopa sheria ya Mungu ya kutoachana basi naamini nyingi sana zingevunjika. Kitu kingine kinachosababisha watu wavumilie kwenye ndoa ni complications zinazotokana na kuachana, kwa mfano kugawana mali, mustakabali wa watoto, n.k. Tulio kwenye ndoa tunafahamu ndoa nyingi ziko matatizoni, na sababu kubwa ni kukosa uaminifu kati ya wanandoa.
Ndo maana yake,hakika ndoa ni Mtihani,Ikiwa wewe utaifurahia ndoa yako basi ujue wewe umeufauru huo mtihani.Kwa hyo ndoa ni mtihani..Na wengine hatupendi mitihani sasa sijui itakuwaje. Nilitegemea ndoa iwe ni furaha na sio mtihani au unaonaje mkuu
Kile cheti sio ishu,matokeo ya mtihani wako yatakuja kujulikana mwishoni unapokuwa unafunga Ukurasa wa maisha yako hapa Duniani.Hivi na kile cheti kinakuwaga na pass marks.
Yaani kitu kama grade au gpa.
Maana huo mtihani wa kupewa cheti kwanza na ku graduate ndo uingie kwenye hicho chumba simchezo.
Hali ya ndoa nyingi siyo kama inavyoongekea, nafikiri kuna chumvi nyingi juu ya tuhuma hizi. Marafiki zangu, ndugu zangu, wafanyakazi wenzangu wengi tu wako happy kwenye ndoa zao. Ni wachache tu wenye figisu figisu.
Halafu pia Ndo nyingi hazivunjiki kama inavyosemwa. Nimejaribu kuangalia katika ma classmate, workmates na ndugu ninaowafahamu ambao wamefunga ndoa kuanzia 2005, ni wa 4 tu kati ya 46 ndo wametengana, mmoja sababu ya michepuko ya mwanamke, wawili tabia za wanaume lakini siyo michepuko, na mmoja tuhuma za ushirikina kwa mwanamke.
Nafikiri tunapenda ku generalize sana mambo bila kuwa na data. Naamini ndoa nyingi ziko imara na zina upendo ukiacha mikwaruzano ya hapa na pale ambayo ni kawaida sana.
tuchepuke basi,,,,,we c ulisema mmeo analalamika sana na wamfanyia kila kitu,,,mm nipo dodo tuu nitanyamazaUkisimuliwa utamu wa asali hautaelewa, ionje ndo utajua....