Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,941
- 3,964
Ndoa ni bonge la mtihani,Ukiona mtu anaingia kwenye ndoa halafu baadae yanamshinda maana yake mtihani huo kwake umekuwa mgumu,kwa hiyo km wewe mtoa mada mtihani huo umekushinda basi juu kuwa sio wote unaowashinda.
Hali ya ndoa nyingi siyo kama inavyoongekea, nafikiri kuna chumvi nyingi juu ya tuhuma hizi. Marafiki zangu, ndugu zangu, wafanyakazi wenzangu wengi tu wako happy kwenye ndoa zao. Ni wachache tu wenye figisu figisu.
Halafu pia Ndo nyingi hazivunjiki kama inavyosemwa. Nimejaribu kuangalia katika ma classmate, workmates na ndugu ninaowafahamu ambao wamefunga ndoa kuanzia 2005, ni wa 4 tu kati ya 46 ndo wametengana, mmoja sababu ya michepuko ya mwanamke, wawili tabia za wanaume lakini siyo michepuko, na mmoja tuhuma za ushirikina kwa mwanamke.
Nafikiri tunapenda ku generalize sana mambo bila kuwa na data. Naamini ndoa nyingi ziko imara na zina upendo ukiacha mikwaruzano ya hapa na pale ambayo ni kawaida sana.
Wewe umeoa/olewa? wanandoa wengi ni wanafki. ukiwaona njiani au ukienda kuwatembelea utawaona kama ni watu ambao wanafuraha na ndoa yao. lakini pindi wanapokuwa wawili ni vurugu tu. kila mmoja anajiuliza, "sijui kwa nini niliolewa/oa na huyu?"Hali ya ndoa nyingi siyo kama inavyoongekea, nafikiri kuna chumvi nyingi juu ya tuhuma hizi. Marafiki zangu, ndugu zangu, wafanyakazi wenzangu wengi tu wako happy kwenye ndoa zao. Ni wachache tu wenye figisu figisu.
Halafu pia Ndo nyingi hazivunjiki kama inavyosemwa. Nimejaribu kuangalia katika ma classmate, workmates na ndugu ninaowafahamu ambao wamefunga ndoa kuanzia 2005, ni wa 4 tu kati ya 46 ndo wametengana, mmoja sababu ya michepuko ya mwanamke, wawili tabia za wanaume lakini siyo michepuko, na mmoja tuhuma za ushirikina kwa mwanamke.
Nafikiri tunapenda ku generalize sana mambo bila kuwa na data. Naamini ndoa nyingi ziko imara na zina upendo ukiacha mikwaruzano ya hapa na pale ambayo ni kawaida sana.
Pokea like nyiingii. Na pia watu hufikia kusema kuwa wasichana warembo wanataka kuolewa na watu wenye pesa tu hii nayo ni generalization ya hali ya juu. Kwa kuwa huko maofisini na mitaan warembo kibao wanaolewa na wanaume wa kawaida wanaanza maisha ya kawaida kabisa ya kupanga chumba kimoja mpk wanakuwa na maendeleo kiuchumi..sasa ukiyapima kwa upande wa mastaa ndo unabaki kugeneralize kuwa wasichana wanataka kuolewa na wenye fedhaHali ya ndoa nyingi siyo kama inavyoongekea, nafikiri kuna chumvi nyingi juu ya tuhuma hizi. Marafiki zangu, ndugu zangu, wafanyakazi wenzangu wengi tu wako happy kwenye ndoa zao. Ni wachache tu wenye figisu figisu.
Halafu pia Ndo nyingi hazivunjiki kama inavyosemwa. Nimejaribu kuangalia katika ma classmate, workmates na ndugu ninaowafahamu ambao wamefunga ndoa kuanzia 2005, ni wa 4 tu kati ya 46 ndo wametengana, mmoja sababu ya michepuko ya mwanamke, wawili tabia za wanaume lakini siyo michepuko, na mmoja tuhuma za ushirikina kwa mwanamke.
Nafikiri tunapenda ku generalize sana mambo bila kuwa na data. Naamini ndoa nyingi ziko imara na zina upendo ukiacha mikwaruzano ya hapa na pale ambayo ni kawaida sana.
Nakubaliana na wewe kuwa ndoa za namna hiyo zipo. Ila neno WENGI au ndoa nyingi ndo aikubaliani naloWewe umeoa/olewa? wanandoa wengi ni wanafki. ukiwaona njiani au ukienda kuwatembelea utawaona kama ni watu ambao wanafuraha na ndoa yao. lakini pindi wanapokuwa wawili ni vurugu tu. kila mmoja anajiuliza, "sijui kwa nini niliolewa/oa na huyu?"
Kweli tumezoea kusikia mabaya tu na ubongo wetu umejaa mabaya ya ndoa tu badala ya mazuri. Ni vema tukaanza kubadili attitude zetuHali ya ndoa nyingi siyo kama inavyoongekea, nafikiri kuna chumvi nyingi juu ya tuhuma hizi. Marafiki zangu, ndugu zangu, wafanyakazi wenzangu wengi tu wako happy kwenye ndoa zao. Ni wachache tu wenye figisu figisu.
Halafu pia Ndo nyingi hazivunjiki kama inavyosemwa. Nimejaribu kuangalia katika ma classmate, workmates na ndugu ninaowafahamu ambao wamefunga ndoa kuanzia 2005, ni wa 4 tu kati ya 46 ndo wametengana, mmoja sababu ya michepuko ya mwanamke, wawili tabia za wanaume lakini siyo michepuko, na mmoja tuhuma za ushirikina kwa mwanamke.
Nafikiri tunapenda ku generalize sana mambo bila kuwa na data. Naamini ndoa nyingi ziko imara na zina upendo ukiacha mikwaruzano ya hapa na pale ambayo ni kawaida sana.
Nakubaliana na wewe kuwa ndoa za namna hiyo zipo. Ila neno WENGI au ndoa nyingi ndo aikubaliani nalo

Hebu soma vizuri sentensi yako hapo juu.Nakubaliana na wewe kuwa ndoa za namna hiyo zipo. Ila neno WENGI au ndoa nyingi ndo aikubaliani nalo
Utamu upi huo unaouongelea. Utamu wa paouchi au utamu wa ndoaUkisimuliwa utamu wa asali hautaelewa, ionje ndo utajua....
Unaweza tafuta mtu wa kubanjuana nae permanent ila kuoa huoi. Siku hizi wadada wengi ni movie type unaweza ukaingia ukajuta.Sasa hapo kwenye kutafuta mtu wa kubanjuana asie maalum si ndio kukaribisha magomjwa?
We oa/olewa ukatengeneze ndoa ya kuigwa. Usitafakari negative thinking kuhusu ndoa. Mi naamini ubaya na uzuri wa ndoa ni uamuzi wako katika kui handle....
Ukitaka mazuri yafunike mabaya you can make it happen katika mahusiano yenu. Na inategemea umekubali kua na mtu mwenye tabia zipi
Ukioa utapata majibu ya maswali yako yoooteUtamu upi huo unaouongelea. Utamu wa paouchi au utamu wa ndoa