Vitalis Msungwite
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,318
- 7,984
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
MITHALI 6:32
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hivyo. World is not fair kabisa. Mbaya anakutana na mzuri.. mzuri anakutana na mbaya. Ni nadra sana wote wakakutana.Sijui kwann miwanaume michepukaji haikutanaga na wanawake mafia yan mwanaume afanyiwe unyama wa aina yake akili ziwe zinawakaa sawa
So true..Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
MITHALI 6:32
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hivyo. World is not fair kabisa. Mbaya anakutana na mzuri.. mzuri anakutana na mbaya. Ni nadra sana wote wakakutana.
Hiyo tabia sifagilii kabisa. Kuchepuka si sifa nzuri kabisa. Maana mwisho wa siku mara nyingi unakuwa si mzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa mada ni wakala wa shetani ndiyomaana anahalalisha uchepukaji, hajui kilichompata Nabii Suleimani ni hiyo hiyo michepuko hadi akamuasi Mungu wake na kuabudu miungu.Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
MITHALI 6:32
Sent using Jamii Forums mobile app
Real is rare.It takes a real gentelman to understand this and act ryt infront of hiz woman...
🤔🤔🤔Sijui kwann miwanaume michepukaji haikutanaga na wanawake mafia yan mwanaume afanyiwe unyama wa aina yake akili ziwe zinawakaa sawa
Mtoa mada ni wakala wa shetani ndiyomaana anahalalisha uchepukaji, hajui kilichompata Nabii Suleimani ni hiyo hiyo michepuko hadi akamuasi Mungu wake na kuabudu miungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan ni lazima wanaume muwe na michepuko?!mnajiendekeza mambo ya kijinga...
Yan mnaipa ngono priority kuliko uhai wenu...mkafie mbele huko
Wamekusikia "wajinga ndiyo waliwao" much know.Kuchepuka ni imani na ni siri ya mtu, ukijua mchepuko wa mtu ujue wapo mwishoni. Usishangae hata mke/ mme wako yumo ila hajashikwa masikio tu, na mtumishi wako je? Sio kila kitu ni cha shetani, tumia kichwa kufikiri.
Barafu la moto
Una maana gani heb tuelewesheMtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
MITHALI 6:32
Sent using Jamii Forums mobile app