Kitongaaa..... safi lakini - mjini mipango, K si lazima ununue hata za bure zipo nyingi tu mbona... ingawa bure ina gharama wakati mwingine kuwa makini.
Amini chief, kuna michepuko inajua shida za mtu, hailii njaa inajitegemea na iko vizuri kiuchumi, yaani ni wife material kabisa sema ndio imekuwa michepuko yetu!
Hiyo ndio michepuko ya kuwa nayo sasa (michepuko lami), sio michepuko kila siku vurugu tu, ukiamka, ukimpigia simu, ukimuuliza hali, ye kila wakati anataka hela tu!!
Kuna mchepuko huo niliuona ni mama wa rafiki yangu yaani hadi yule mama anafariki ndio nikajua kuwa alikuwa mchepuko yaani alikuwa anasomesha watoto wa nyumba kuu nikizani anasomesha watoto wa mchepuko kumbe yeye ndio mchepuko