ujinga tu yaani achepuke ati name nikachepuke haanh upuuzi huu haunipati hata kwa dawa ni sawa na kujitumbukiza shimoni mwenyewe bila kusukumwa halaf kuchepuka hata sio roho bali ni hulka ya mtu au tabia ya mtu
katika kitu kinachompa mwanaume uchungu japo hajifungui ni kujua na yeye anafanyiwa ha ha ha inaumaa inaumaa mno!!!bad enough imekua kama ni haki yao kabisa kucheat
kweli inabidi waanze kujifunza kuvumilia kufanyiwa sasa....