M Mompreneur Upendo New Member Joined Feb 17, 2018 Posts 2 Reaction score 0 Jan 8, 2021 #1 Habari ya leo, naomba msaada kwa mwenye uzoefu au anaemjua mwenye uzoefu, anisaidie uendeshaji mzima wa biashara hii ya michemsho na supu, Kwa mawasilino zaidi 0753348841
Habari ya leo, naomba msaada kwa mwenye uzoefu au anaemjua mwenye uzoefu, anisaidie uendeshaji mzima wa biashara hii ya michemsho na supu, Kwa mawasilino zaidi 0753348841
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,986 Reaction score 189,584 Jan 8, 2021 #2 Wanakuja boss
Pax Vobiscum JF-Expert Member Joined Oct 29, 2018 Posts 455 Reaction score 766 Jan 8, 2021 #3 Kila la kheri mkuu, Ni biashara nzuri Sanaa na inalipa Sanaa!! Sina uzoefu Wala sijawahi kuifanya
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,923 Reaction score 95,765 Jan 8, 2021 #4 Hakuna kama mchemsho wa kitimoto uliopoa ule kwa chai asabuhi ukiwa umepikwa jana yake
Elly255 JF-Expert Member Joined Mar 30, 2017 Posts 882 Reaction score 1,433 Jan 8, 2021 #5 Umeandika kizembe sana tegemea utani tu
M Mompreneur Upendo New Member Joined Feb 17, 2018 Posts 2 Reaction score 0 Jan 8, 2021 Thread starter #6 Elly255 said: Umeandika kizembe sana tegemea utani tu Click to expand... Sawa
Hazchem plate JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 11,059 Reaction score 15,534 Jan 8, 2021 #7 Kama sio mchaga sijui kama utaweza