Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,079 Jan 18, 2012 #121 hashycool said: hny! i ll be having this cross country thing 2moro hope u wont mind missing me for a day! Click to expand... mara hii umeanza sarakasi zako?
hashycool said: hny! i ll be having this cross country thing 2moro hope u wont mind missing me for a day! Click to expand... mara hii umeanza sarakasi zako?
Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,079 Jan 18, 2012 #122 Michelle said: I thought we are going for second honeymoon???? He he he he heeeeeeeeee, try me, i said try me and you regret!! Enough! Click to expand... hana cha riadha wala nin,muulize ana kideiti na nani?unfinished biziness sio?
Michelle said: I thought we are going for second honeymoon???? He he he he heeeeeeeeee, try me, i said try me and you regret!! Enough! Click to expand... hana cha riadha wala nin,muulize ana kideiti na nani?unfinished biziness sio?
Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,079 Jan 18, 2012 #123 afrodenzi said: Mi si katai TF na mimi tuli date tukaachana Na sasa yeye anawanawake kama utitiri.. Na mimi niko kwenye "waiting list ".. Click to expand... nisifie basi japo kidogo kwamba intuition ya bishanga ni kali! No wanda TF anaukimbia uzi huu,something touching his raw nerve!
afrodenzi said: Mi si katai TF na mimi tuli date tukaachana Na sasa yeye anawanawake kama utitiri.. Na mimi niko kwenye "waiting list ".. Click to expand... nisifie basi japo kidogo kwamba intuition ya bishanga ni kali! No wanda TF anaukimbia uzi huu,something touching his raw nerve!
Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,079 Jan 18, 2012 #124 afrodenzi said: Mi si katai TF na mimi tuli date tukaachana Na sasa yeye anawanawake kama utitiri.. Na mimi niko kwenye "waiting list ".. Click to expand... mmmmmmhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!
afrodenzi said: Mi si katai TF na mimi tuli date tukaachana Na sasa yeye anawanawake kama utitiri.. Na mimi niko kwenye "waiting list ".. Click to expand... mmmmmmhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Michelle JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 7,631 Reaction score 3,543 Jan 18, 2012 #125 Bishanga said: mara hii umeanza sarakasi zako? Click to expand... Bora umeona na wewe....wala hachelewi....sikio la kufa halisikii dawa Bishanga said: hana cha riadha wala nin,muulize ana kideiti na nani?unfinished biziness sio? Click to expand... Nalijua hilo,alikuwa anapima upepo, sasa ngoja nifanye na mimi kweli....kuna mtu namtafuta....lol
Bishanga said: mara hii umeanza sarakasi zako? Click to expand... Bora umeona na wewe....wala hachelewi....sikio la kufa halisikii dawa Bishanga said: hana cha riadha wala nin,muulize ana kideiti na nani?unfinished biziness sio? Click to expand... Nalijua hilo,alikuwa anapima upepo, sasa ngoja nifanye na mimi kweli....kuna mtu namtafuta....lol
Michelle JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 7,631 Reaction score 3,543 Jan 18, 2012 #126 afrodenzi said: Mi si katai TF na mimi tuli date tukaachana Na sasa yeye anawanawake kama utitiri.. Na mimi niko kwenye "waiting list ".. Click to expand... Eeeeh siku nita confirm kutoka kwa TF kuwa umemuacha Itakuwa siku ya huzuni sana kwangu na itakuwa siku ya kuachana na Hashy kimoja Manake kwa asilimia fulani niko nae kwa heshima yenu tu.
afrodenzi said: Mi si katai TF na mimi tuli date tukaachana Na sasa yeye anawanawake kama utitiri.. Na mimi niko kwenye "waiting list ".. Click to expand... Eeeeh siku nita confirm kutoka kwa TF kuwa umemuacha Itakuwa siku ya huzuni sana kwangu na itakuwa siku ya kuachana na Hashy kimoja Manake kwa asilimia fulani niko nae kwa heshima yenu tu.
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 10,707 Reaction score 5,679 Jan 19, 2012 #127 Michelle said: Eeeeh siku nita confirm kutoka kwa TF kuwa umemuacha Itakuwa siku ya huzuni sana kwangu na itakuwa siku ya kuachana na Hashy kimoja Manake kwa asilimia fulani niko nae kwa heshima yenu tu. Click to expand... Hapa umetupiga changa la macho kabisaaaa! Hahahah we jifarague tu....lol!!
Michelle said: Eeeeh siku nita confirm kutoka kwa TF kuwa umemuacha Itakuwa siku ya huzuni sana kwangu na itakuwa siku ya kuachana na Hashy kimoja Manake kwa asilimia fulani niko nae kwa heshima yenu tu. Click to expand... Hapa umetupiga changa la macho kabisaaaa! Hahahah we jifarague tu....lol!!
Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,079 Jan 20, 2012 #128 Michelle said: Eeeeh siku nita confirm kutoka kwa TF kuwa umemuacha Itakuwa siku ya huzuni sana kwangu na itakuwa siku ya kuachana na Hashy kimoja Manake kwa asilimia fulani niko nae kwa heshima yenu tu. Click to expand... morning Michelle,you and Hubby HC how are you doing? Hebu mPM TF mwambie aje haraka kwenye uzi huu pliz!
Michelle said: Eeeeh siku nita confirm kutoka kwa TF kuwa umemuacha Itakuwa siku ya huzuni sana kwangu na itakuwa siku ya kuachana na Hashy kimoja Manake kwa asilimia fulani niko nae kwa heshima yenu tu. Click to expand... morning Michelle,you and Hubby HC how are you doing? Hebu mPM TF mwambie aje haraka kwenye uzi huu pliz!
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,229 Feb 11, 2012 #129 huyu TF na HC wakirudi ntashukuru maana, kaja kung'ang'ania kwangu lol
Michelle JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 7,631 Reaction score 3,543 Feb 11, 2012 #130 Kongosho said: huyu TF na HC wakirudi ntashukuru maana, kaja kung'ang'ania kwangu lol Click to expand... Limekukaba kweli Kongosho....sina tabia ya kurudia matapishi yangu,mie nawe sambamba,tutabanana pale pale,kazi kwako kufukua ya nyuma....huu uzi umetoka nao wapi lakini??
Kongosho said: huyu TF na HC wakirudi ntashukuru maana, kaja kung'ang'ania kwangu lol Click to expand... Limekukaba kweli Kongosho....sina tabia ya kurudia matapishi yangu,mie nawe sambamba,tutabanana pale pale,kazi kwako kufukua ya nyuma....huu uzi umetoka nao wapi lakini??
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,229 Feb 11, 2012 #131 kuna mtu alinikumbusha akasema HC anarudi hivi karibuni nikaja kuomba dua arudi upesi ujue wale wamasai huwa wanawashikia wadogo zao wake zao kama wamesafiri mmeo akirudi, hakuna kung'ang'ania kwa shemeji Michelle said: Limekukaba kweli Kongosho....sina tabia ya kurudia matapishi yangu,mie nawe sambamba,tutabanana pale pale,kazi kwako kufukua ya nyuma....huu uzi umetoka nao wapi lakini?? Click to expand...
kuna mtu alinikumbusha akasema HC anarudi hivi karibuni nikaja kuomba dua arudi upesi ujue wale wamasai huwa wanawashikia wadogo zao wake zao kama wamesafiri mmeo akirudi, hakuna kung'ang'ania kwa shemeji Michelle said: Limekukaba kweli Kongosho....sina tabia ya kurudia matapishi yangu,mie nawe sambamba,tutabanana pale pale,kazi kwako kufukua ya nyuma....huu uzi umetoka nao wapi lakini?? Click to expand...