Arise farms ni wauzaji wa miche bora ya mbao na matunda kwa gharama nafuu.
Ukihitaji miche ya mitiki hata laki moja utaipata kwa wakati.
Bei za miche.
Mtiki ( Tectona grandis) sh. 400/;mche.
Mtiki mweupe ( white teak) sh. 500/mche.
Papai ( red papaya- Malkia F1). Sh.5000.
Vile vile aina mbali mbali za miche.
Tunasafirisha mikoa yote ya Tanzania bure.
Tunapatikana kilombero- morogoro na kibaha- pwani
WhatsApp/call/text.
0766006128
0655715184