NJOMBE KING
Senior Member
- Jan 2, 2014
- 197
- 22
Kuna miche mizuri ya matunda mbali mbali kama parachichi na epo nk inapatikana kwa wingi hapa njombe. Pia miche ya miti ya mbao inapatikana kwa bei nafuu.fika mtaa wa maheve njombe ujipatie kwa bei rahisi.

Hiyo miche ni ya apples na avocado type gani? Utatutumia nje ya Njombe? Bei? Usafiri? Weka details tujipange? Na peaches or nectarines nitapata?
Nahitaji miche ya Apples bei gani?
tatizo MICHE YETU YA APO NI ZILE CHUNGU ATA UKILIMA NI KAZI BULE
hiyo miche ni ya apples na avocado type gani? Utatutumia nje ya njombe? Bei? Usafiri? Weka details tujipange? Na peaches or nectarines nitapata?
Acha uzushi mkuu wewe unasema yasiyo fanyiwa bading
kama upo njombe mjini utaletewabadala ya kunita mi mzushi ungenielimisha kwanza ila nashukuru
swali
nahitaji miche mia ya
apo na parachichi nitaipataje?
kama upo njombe mjini utaletewa