"michapio bubu"

"michapio bubu"

Nilikuwa nataka kwenda mapumziko Ibiza nikajikuta nimeenda Bahama nafika ndio nashtuka sikupangilia.
 
Nilikutana na uzi unaohusu michapio, katika kupitia nikagundua michapio yote ni ya kimatamshi, nikakumbuka kuna michapio mingine ni ya kivitendo. Labda niiite michapio bubu. Kwa mfano:-

1. Mezani kwako una Desktop na Laptop. Kuna files unataka uzitoe kwenye desktop uzilete kwenye Laptop au kinyume chake. Sasa unajikuta umeshikilia mouse ya desktop unabonyeza bonyeza huku ukitarajia matokeo kwenye screen ya laptop.

2. Umemaliza kuongea na simu sekunde 45 zilizopita lakini bado simu umeishikilia sikioni mwako.

3. Unaendesha gari, ukataka kupunguza sauti ya redio lakini ukajistukia unabonyeza button ya kushusha kioo cha dirisha.

Binafsi ishawahi kunitokea moja wapo, bilashaka wadau na nyinyi mmewahi kukutana nazo..!!hebu tafadhalini jamani tupieni...!!
.dah umenikumbusha mbali sana.kuna siku nilikuwa bwii asubuhi na hangover yangu
kuwahi kongamano nikjua nimebeba note book kumbe pakiti ya kondom.sasa zamu yangu ilipofika nikawa na confidence mia mia,ile kutoa note book paket ya kondom.Aibu niliyoipata najua mwenyewe
 
Back
Top Bottom