Nimekupata mkuu. Yani ni verse nzito zilizobeba tafakuri kubwa kuliko zingine. Si ndiyo?Mifano ni kama hii...
ukiwa na nyundo mkononi, ni rahisi kupigilia msumari
Fid Q
Mi ni jua la utosini sizuiliki Kwa miwani
Stamina
Siui mende Kwa nyundo maana nitaumia Mimi
Professor Jay
Kwenye mtihani wa Maisha uwe na max za kuvutia
One
Bora kurogwa kuliko kukosa Uhuru
Langa ( huu mstari niliuelewa nilipolala sentro)
Nimeapishwa Kwa damu iliyomwagika Soweto, ndo maana unaponisikia nanukia harufu ya ghetto
Nikki wa pili
Ni jambo gumu kidogo😂Mi si mzuri wa rap, ila tu naipenda sanaaaaaa nipe darasa la uandishi.
Yes ni zile witty lines zenye ile "woow effect"Mifano ni kama hii...
ukiwa na nyundo mkononi, ni rahisi kupigilia msumari
Fid Q
Mi ni jua la utosini sizuiliki Kwa miwani
Stamina
Siui mende Kwa nyundo maana nitaumia Mimi
Professor Jay
Kwenye mtihani wa Maisha uwe na max za kuvutia
One
Bora kurogwa kuliko kukosa Uhuru
Langa ( huu mstari niliuelewa nilipolala sentro)
Nimeapishwa Kwa damu iliyomwagika Soweto, ndo maana unaponisikia nanukia harufu ya ghetto
Nikki wa pili
2024Mvumbo niliivua nira, ili niweze saka Dollar/
Sasa nairudia hadhira, maana madogo wote hola/
Haina ushabiki wa mpira, wala mikwara ya Coca cola/
Mvumbo nina hasira, zaidi ya Khemenei Ayatollah/
Mistari inasukwa, zaidi ya nywele za Asnat/
Haina Aki na Ukwa, Mvumbo ndio tamati/
Ma snitch wana rukwa, kwenye hizi harakati/
Maana nimechafukwa, kama Mashariki ya kati/
We Mzee wa manchesta, mbona umetukimbia/
Huyu ☝️ aliye pichani, ni Dr. Mariposa /Haonekani kila mahali, nyumbani mpaka kwenye kazi/
Baba mama maswali, mpaka marafiki uswazi/
Rabda kapata ajali, au kauwawa na majambazi/
Kumbe anapakwa asali, na kupikiwa wali nazi/
View attachment 2836880
Kama huyo aneyeogeshwa ni wewe, hata mi nakutaka😎Huyu ☝️ aliye pichani, ni Dr. Mariposa /
Sijui huyu binti ananini, maana nilishamposa/
kumbe huku sirini, anavingi sana visa/
ninaumia moyoni, hadi natamani kususa/
ila kwa nini lakini, huyu binti ananitesa/
ananiona kama nyani, kisa Mimi Sina pesa/
Sasa ninyi mwambieni, vibao nitamnasa/
pia nitamwingizia ukuni, kwenye tundu lisonipasa/
asije akadhani, nitaenda kwa Mwamposa/
au kwenda mlimani, kuomba kama Musa/
kwanza wengi wananitani, Seran na simphorosa/
hata Binti wa zamani, Mimi bado sijamtosa.
Adriz ulikuwa mtu hapo zamani, sasa we ni mbusii ni kamba tu umekosa.
Duhh mleta mada haamini!🫢Nina demu mwenye sura mororo,
Ambaye hana kasoro,
Hapendi kula kiporo,
Wala kubugia ugoro,
Yeye anapenda kulamba yangu mboro,
Hasa nikimlaza kwa godoro,
Nacheza naye hadi tomorrow,
Halafu sasa anakaterero,
Ndo maana nikimgusa mtaro,
Analia kama koro.
Si Mimi. Bibie kanisaliti, anamwosha mwanaume mwenzangu.Kama huyo aneyeogeshwa ni wewe, hata mi nakutaka😎
Basi achana naye huyo weka yako hapa nikuoshe kisaikolojia😁Si Mimi. Bibie kanisaliti, anamwosha mwanaume mwenzangu.
Huyu ☝️ aliye pichani, ni Dr. Mariposa /
Sijui huyu binti ananini, maana nilishamposa/
kumbe huku sirini, anavingi sana visa/
ninaumia moyoni, hadi natamani kususa/
ila kwa nini lakini, huyu binti ananitesa/
ananiona kama nyani, kisa Mimi Sina pesa/
Sasa ninyi mwambieni, vibao nitamnasa/
pia nitamwingizia ukuni, kwenye tundu lisonipasa/
asije akadhani, nitaenda kwa Mwamposa/
au kwenda mlimani, kuomba kama Musa/
kwanza wengi wananitani, Seran na simphorosa/
hata Binti wa zamani, Mimi bado sijamtosa.
Adriz ulikuwa mtu hapo zamani, sasa we ni mbusii ni kamba tu umekosa.
"Jamani raha siyo raha?Basi achana naye huyo weka yako hapa nikuoshe kisaikolojia😁
Rahaa💃🏽😁"Jamani raha siyo raha?
(Raha tupu)...🎶🎵", Badest 47.
Babi naomba turudiane,View attachment 3593520
Nishakutosa muuuupenzi wa zamani,
Umebaki umedorora hauna ramani,
Ona sasa unafukuzia simphorosa na Serani
Ila nao wanakukataa maana si mahayawani,
Huna mpya umeshashuka thamani,
Kitulize kikojoleo, hovyo hovyo usitamani 😂 .
View attachment 3593518