Dumelang
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 3,204
- 5,704
Hii kero imekuwa yakudumu, nilidhani Rais magufuli kwa serikali yake inayojipambanua kama yenye kujali na kupinga Urasimu mambo ya Ujima haya huku mikoni na wilayan yangekoma.
Wafanyakazi tunakatwa kodi kubwa sana, tena kwa uaminifu katika vijishilingi vyetu, lakin ajabu nikuwa bado sasa tunadaiwa pesa ya mwenge kwa lazima.
Serikali ya awamu ya Tano itazame hili, binafs nimekuwa sichangii japo napigwa mikwara mbuzi wakati mwingine kuwa naweza pewa transfer za kwenda remote areas kama mkurugenzi akipewa majina kuna tunaokwamisha michango hii.
binafs nimekubali na nipo tayari kwa lolote, na kama kugoma kulipa mchango wa mwenge ni jipu na ni kinyume cha utaratibu naomba niwe wa kwanza kutumbuliwa.
Sitalipa milele, lakini wenzetu huku wanaumia kila mwaka.
Naomba kuwasilisha.