Michango ya mazishi ughaibuni

Bado Niponipo

JF-Expert Member
Aug 15, 2008
680
168
Heshima mbele wakuu.

Hii kitu imekaaje, kumekuwa na wimbi la watu wengi ambao wanafariki wakiwa wanaishi ughaibuni na kuomba michango ya mazishi (kurudisha miili ya marehemu nyumbani Tanzania) kwa watu wa nyumbani Tanzania, lakini hatuoni watu wa nyumbani (Tanzania) wakiomba michango ya mazishi kwa watanzania waishio ughaibuni, hii inakuwa oneway traffic. Sometimes waombaji michango hiyo ni watu ambao wamekuwa wakiishi ughaibuni kwa muda mrefu sana, 10 years 15 years etc.

Hii imekaaje.
 
yan huu uzi unamiaka sita humu ndani bt umepata comment moja tu, na yangu ya pili, whats wrong? mi ndo sipend kuanzisha uzi kwa kweli!
 
Back
Top Bottom