G gibasisi JF-Expert Member Jun 13, 2015 593 626 May 24, 2017 #4 itaenda kujenga ukumbi wa Manchester
L lulu za uru JF-Expert Member Aug 7, 2015 2,182 2,684 May 24, 2017 #5 Wazungu wamejitolea damu mpaka wameambiwa inatosha!! Tukatae tukubal wanatuzid kwa masuala ya utoaji..
Wazungu wamejitolea damu mpaka wameambiwa inatosha!! Tukatae tukubal wanatuzid kwa masuala ya utoaji..
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 74,891 155,906 May 24, 2017 #6 lulu za uru said: Wazungu wamejitolea damu mpaka wameambiwa inatosha!! Tukatae tukubal wanatuzid kwa masuala ya utoaji.. Click to expand... Sisi ni wazugaji tu. Full stop
lulu za uru said: Wazungu wamejitolea damu mpaka wameambiwa inatosha!! Tukatae tukubal wanatuzid kwa masuala ya utoaji.. Click to expand... Sisi ni wazugaji tu. Full stop
M MZAWA JF JF-Expert Member Apr 4, 2014 4,119 3,346 May 24, 2017 #7 lulu za uru said: Wazungu wamejitolea damu mpaka wameambiwa inatosha!! Tukatae tukubal wanatuzid kwa masuala ya utoaji.. Click to expand... Pogba atatoa kwa niaba ya wana jf
lulu za uru said: Wazungu wamejitolea damu mpaka wameambiwa inatosha!! Tukatae tukubal wanatuzid kwa masuala ya utoaji.. Click to expand... Pogba atatoa kwa niaba ya wana jf
BAK JF-Expert Member Feb 11, 2007 124,789 288,015 May 24, 2017 #8 Cheza mbali na Gambo na nanihii hawakawii kukwapua wakaongezee kwenye bajeti hewa. KELVIN GASPER said: Toa ndugu toa ndugu Click to expand...
Cheza mbali na Gambo na nanihii hawakawii kukwapua wakaongezee kwenye bajeti hewa. KELVIN GASPER said: Toa ndugu toa ndugu Click to expand...
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 51,991 69,386 May 25, 2017 #9 Wale wapigaji wa Tz ndio wanaratibu au
Faana JF-Expert Member Dec 12, 2011 31,895 33,320 May 25, 2017 #10 Bujibuji said: Sisi ni wazugaji tu. Full stop Click to expand... Sisi tukiambia msaada wa kutoa damu tunaondoka wodini kwenda kuomba watu waje watoe damu badala ya sisi kuanza instantly
Bujibuji said: Sisi ni wazugaji tu. Full stop Click to expand... Sisi tukiambia msaada wa kutoa damu tunaondoka wodini kwenda kuomba watu waje watoe damu badala ya sisi kuanza instantly