Nafikiri kesi hukuielewa mauaji halikua shm ya mashitaka wamehukumiwa kwa uchochez na sio mauajiHili jambo linafikirisha.
Nimefuatilia mwenendo wa kesi ya mauaji ya Akwilina tangu mwanzo mpaka hukumu yake iliyotolewa leo katika Mahakama ya Kisutu, Dar.
Kukubali kulipa faini bila kukata rufaa, ni kwamba viongozi na wafuasi wa CHADEMA wamekubaliana na hukumu kwamba wanayo hatia ya kusababisha kifo cha Akwilina?
Je, ingeamuliwa wafungwe jela wasingekata rufaa? Au pesa imeonekana ni rahisi kupatikana kuliko jaribio la kutokukubaliana na hatia? Hawajali rekodi itakuwaje?
Ni jambo jema kuchangisha umma na kuomba wanachama na wananchi wenye huruma kuwanusuru, lakini inafikirisha sana.
Kwa mwenendo huu, mahakama si inaweza kuanza kutumika kama chanzo kipya cha mapato?
Kwangu hili suala limekaa kibinafsi sana!
Nadhani mtastuka mwili mzima utakapokua umezama shimoni. By the way zile 250m plus 20% riba mnaanza kulipa lini vile?Toeni tena a/c ya michango tuwachangie majeruhi waliopo hospital wapate nguvu haraka kama kuwatoka kwa pesa mingi iliwezakana hatuwezi shindwa za hospital karibuni
Sent using Jamii Forums mobile app
We utakuwa MSALITIUjinga ni kujisahau kwamba nawe ipo siku utadondoka......
We MSALITI nini?CCM acheni dhihaka,furaha yenu kwa unyanyasaji huu ipo siku itageuka machozi!
Ccm vilaza wa propaganda!Sasa mmebaki kutegemea dola kupambana na wapinzani!We MSALITI nini?
Toa jerojero zako!
Makada Wenzako wameona aibu na kuchutama kwa kukamatwa uongo,wewe unawaibulia aibu yao upya!HahahaaaNadhani mtastuka mwili mzima utakapokua umezama shimoni. By the way zile 250m plus 20% riba mnaanza kulipa lini vile?
Sent using Jamii Forums mobile app
Toeni tena a/c ya michango tuwachangie majeruhi waliopo hospital wapate nguvu haraka kama kuwatoka kwa pesa mingi iliwezakana hatuwezi shindwa za hospital karibuni
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ni uaslilti kamanda!Ccm vilaza wa propaganda!Sasa mmebaki kutegemea dola kupambana na wapinzani!
Huo ni uaslilti kamanda!
TOA JERO!