Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Nilipata funzo kubwa sana mkuu; usipojiwekeza wewe mwenyewe, uje utegemee kikundi, marafiki, ndugu n.k utaenda na majiPole na hongera kwa yote. Imeandikwa "tusichoke kutenda mema" ikiwa ndani ya uwezo wetu, bila kujalisha binadamu wengine wanaishije nasi.
Tatizo na wao, hawaniwezeshi kwenye mahitaji muhimu, zaidi ya sala tu; itakuwa kama nanunua maombeziMkuu Jitahidi utoe mchango wa ujenzi wa jengo la ibada tu. Mengene achana nayo
Ni kweli ndugu. Inabidi tuzijengee familia zetu uwezo wa kujitegemea na kustahimili kwa kiasi fulani hususani wakati wa majanga.Nilipata funzo kubwa sana mkuu; usipojiwekeza wewe mwenyewe, uje utegemee kikundi, marafiki, ndugu n.k utaenda na maji
Kuna swali moja, niliulizwa na mzee wangu; 'ni nani yuko tayari, kuuza nyumba yake au gari lake ili aweze kukuuguza?'Toa au changia tu kama sehemu ya fuaraha yako wala usisubiri na wewe waje wakuchangie.
Binadamu utapendwa kutokana na nafasi yako uliyonayo kinyume na hapo huna thamani.
Hapa ndiyo kuna tatizo.Tatizo na wao, hawaniwezeshi kwenye mahitaji muhimu, zaidi ya sala tu; itakuwa kama nanunua maombezi
Ulimwengu ulishakuwa biasharaHapa ndiyo kuna tatizo.
Siku hizi tunapimwa uumini wetu kwa Michango. Kama huchangii unaonekana siyo Muumini mzuri..
Pathetic!
Ndugu kaza kidogo basi,haya mambo ya sijui 7×70 sijui sote ni ndugu sjui vuta subira ndo yanatufikisha hata kama watanzania.Mbona ukiwa na njaa huvuti subira??Pole na hongera kwa yote. Imeandikwa "tusichoke kutenda mema" ikiwa ndani ya uwezo wetu, bila kujalisha binadamu wengine wanaishije nasi.
Ni sawa na kwenda kumtazama mgonjwa hospitali, huku hujabeba matunda, hata senti tano, au kutoa maamuzi yenye tija; unabaki kusema Mungu atakusaidia; mgonjwa amekuwa tv?Wewe uliwaomba msaada mkuu, ujue kuna kutoa taarifa na kuomba msaada.
Kuna baadhi ya familia huwa wanakataa misaada kabisa wanakomaa wenyewe tu.
Tusilaumu watu ilhali hukuomba msaada bali unatoa taarifa (mtu ajiongeze) kwa ndgu unaweza kutoa tu taarifa ajiongeze mwenyewe lakini kwa watu baki ni tofauti, wao pia wana shida zao so kujua ukubwa wa shida yako bila kuwashirikisha aina ya msaada unaohitaji ukiwalaumu unakosea sana.
Wewe hukua mgonjwa ila ndgu zako ndio walikua wagonjwa, vipi kama kitaa unaonekana una wadhfa!?Ni sawa na kwenda kumtazama mgonjwa hospitali, huku hujabeba matunda, hata senti tano, au kutoa maamuzi yenye tija; unabaki kusema Mungu atakusaidia; mgonjwa amekuwa tv?