hio mbona ni pesa kidogo mkuu ukilinganisha na utajiri alionao,kuna mastaa wengi sana wana nyumba za gharama kushinda uyo,kama tu aliyekuwa mke wa tiger wood,alinunua nyumba ya million 12 na kuibomoa ili ajenge anayopenda,watu kama eddy murphy wana nyumba ya million 50,mastar wengi sana marekani wana nyumba za gharama kubwa kuliko uliyoweka apa