Richmoto Kushmoto
JF-Expert Member
- Jan 18, 2021
- 549
- 561
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] acha kuskip wwMovie zake inaanza wanapigana mpaka inaisha watu wanaopigana hata hujui wanapigania nini
yuko vizuriHiyo never back down iko vizuri sana,
Na nyingine inaitwa Blood and Bone,
navutiwa na filamu za aina hiyo.
Ulikuwa unataka tumfanyeje huyu Michael?Huyu mwamba napenda namna ya uigizaji wake jamaa serious martial art kabisa in life hata MMA Wanamuelewa huyu mnig movie hazinaga romatinc huyu mwamba ni yeye na kipondo full action yaani
NI moja actor ambao ni serious action sisi wapiga ngumi tunasema insane wale mliocheza shadow fight 2 mnaelewa [emoji111]
Top eleven yang serious martial artist actor
Donnie yen
Max zhang
michael jai white
Steven seagal (Umri umeenda ila bado anakiwasha kwelikweli ikumbukwe ni master wa aikido scene anapigana na tyson kwenye china salesman)
scort adkins
Tony Jaa
Jean claude van damme
Mike tyson ( utampata kwenye china sales man,Ip man 3 na No surrender ya damme na dogo krut )
Jason stastam
Jack wu anakiwasha kwenye wolf wariors
Iko uwais ( Mkali wa silati ) moja ya filamu zake Head Shot & Night come for us ni kisanga kitupu )
moja ya movie zake alizocheza michael jait white
Never back down 2
Take back 2021
Falcon Rising
Skin Trade
Tripple threat
undisiputed 2
The hard way
Universal soldier
na nyingine nyingi
we unamkubali yupi zaidi
namwelewa sana ila huyu mwamba anatuwakilisha vizuri watu weusi yeye na wesley sniperFalcon Rising ni fire.
Ila Donnie Yen hapana, Ana mateke na ngumi za speed kinyama.
Tafuta movie zake za akiwa bado yanki (young) uone mateke na ngumi zake.
Mfano
Tiger cage
On the line of duty
Shangai affars
The big boss
Kung fu master
ajengewe sanamu karibu na kaburi la bruce leeUlikuwa unataka tumfanyeje huyu Michael?
Alidundwaga kissenge kwenye movie ya King Boyka.
Haaaa siamini Mana muvi zinachazo bwanaMovie zake inaanza wanapigana mpaka inaisha watu wanaopigana hata hujui wanapigania nini
akikushika anahakikisha huinuki kabisa kabisaFalcon Rising ni fire.
Ila Donnie Yen hapana, Ana mateke na ngumi za speed kinyama.
Tafuta movie zake za akiwa bado yanki (young) uone mateke na ngumi zake.
Mfano
Tiger cage
On the line of duty
Shangai affars
The big boss
Kung fu master
Movie 90% ni kupigana 10% ni story...Yaani movie hazina story ila zimejikita kwenye kupigana tuHaaaa siamini Mana muvi zinachazo bwana