Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 72,433 Reaction score 191,755 Dec 5, 2020 Thread starter #61 Kasie said: Karibu kumbuka tuu kwa wakati mmoja msizidi 4. Kilo tatu yote nawawekea mezani. Click to expand... Hahahah utatuua mama, 3 ni hatari labda iwe kavu
Kasie said: Karibu kumbuka tuu kwa wakati mmoja msizidi 4. Kilo tatu yote nawawekea mezani. Click to expand... Hahahah utatuua mama, 3 ni hatari labda iwe kavu
Kasie Platinum Member Joined Dec 29, 2013 Posts 22,805 Reaction score 43,230 Dec 5, 2020 #62 Extrovert said: Hahahah utatuua mama, 3 ni hatari labda iwe kavu Click to expand... Weeeh, hebu nione tumbo lako nithaminishe...... Ila msijali, ikibaki nawafungia kwenye kontena mnaondoka nayo. Pishi lolote mkitaka mie napika. Napenda kupikia watu wale washibe.
Extrovert said: Hahahah utatuua mama, 3 ni hatari labda iwe kavu Click to expand... Weeeh, hebu nione tumbo lako nithaminishe...... Ila msijali, ikibaki nawafungia kwenye kontena mnaondoka nayo. Pishi lolote mkitaka mie napika. Napenda kupikia watu wale washibe.
Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 72,433 Reaction score 191,755 Dec 5, 2020 Thread starter #63 Kasie said: Weeeh, hebu nione tumbo lako nithaminishe...... Ila msijali, ikibaki nawafungia kwenye kontena mnaondoka nayo. Pishi lolote mkitaka mie napika. Napenda kupikia watu wale washibe. Click to expand... Hatushindwiii
Kasie said: Weeeh, hebu nione tumbo lako nithaminishe...... Ila msijali, ikibaki nawafungia kwenye kontena mnaondoka nayo. Pishi lolote mkitaka mie napika. Napenda kupikia watu wale washibe. Click to expand... Hatushindwiii
Kasie Platinum Member Joined Dec 29, 2013 Posts 22,805 Reaction score 43,230 Dec 5, 2020 #64 Extrovert said: Hatushindwiii Click to expand... Aaahahahhahhaaaa I can hear you...😜
cabo JF-Expert Member Joined Jun 15, 2016 Posts 4,774 Reaction score 5,314 Dec 5, 2020 #65 Zabron Hamis said: Subirini sredi za kokakola na pepsi. Click to expand... Hii sredi ni msamiati mpya
Zabron Hamis said: Subirini sredi za kokakola na pepsi. Click to expand... Hii sredi ni msamiati mpya
toughlendon_1 JF-Expert Member Joined Feb 7, 2018 Posts 6,965 Reaction score 12,556 Dec 5, 2020 #66 wiki ilopita nilienda pale ilisubir msosi mpaka nikaamua kusepa sababu wale ni wapuuz sana
Sipendi Uchawa JF-Expert Member Joined Dec 19, 2016 Posts 8,119 Reaction score 12,929 Dec 6, 2020 #67 cabo said: Hii sredi ni msamiati mpya Click to expand... Ndio