Miaka ya neema, miaka ya uharibifu

Never give up or loose hope for in the darkest hour of time... There is always a twinkle of light to lead you through
 
nimebarikiwa
 
Binafsi naziona !!nachezewa shere kazini!!!!kuna watu natamani hata wafe !BACK STUBERS WANAKERA SANA!!!
Waombee maisha marefu ili wakuone ukiwa umesimama tena....mwenye nguvu furaha na siha njema
 
Kaka Mshana nimekua nikijifunza mambo mengi sana kupitia kwako, umekua ukiandika mada zinazoishi (unabii).

Na swali moja kwako,kwa mtu aliekwisha kumkiri Yesu anaweza kutumia tiba ya chumvi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…