Miaka Miwili Ndani ya JF

King Kong III

Platinum Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
64,330
Reaction score
98,986
Umofia Kwenu Wana JF,

Leo nimetimiza nyundo bee ndani ya JF,Mdogo mdogo tutafika,Much respects kwa Mods wote na Members wenzangu....Holla
 
Vipi Lateni? mambo zako nadhani ni supa. mkuu King Kong III happy birthday yako ya JF. Mimi miezi 7 tu nshaota mvi mpaka kunako.. He! kumbe niko msibani.

Niko poa, nawaonea huruma sana hao wanaofika hapo msibani kukupa pole maana kwa ubize huu, sidhani hata kama unapata muda wa kuwatizama usoni, hahahaa,
 
Sio mbaya kwa wakati huu ukajipima pia kitugani umeifanyia JF , JF members na JF imekubadilisha kwa kiasi kipi
 
Dah mm nitajitahidi nisipate hicho kiBAN

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…