reginahope
Senior Member
- Mar 26, 2013
- 163
- 30
Tumia recruitment agencies! Japo wanyonyaji ila afazali kidogo. Ila Eurolink na Shughulika wapotezeee!
Unafanya nini kwa sasa?una umri gani? jinsia yako?
Kwa mtazamo wangu njia ya afadhali kupata kazi ni kwa kutumia optional courses ulizozizoma..i.e managerial accounts etc etc kuonesha kwa una fit kwenye listed job..maana kama ukisema usubiri kazi ya kile ulichosomea kabisa nadhani unaweza ukasubiri sana yan..huu ni ushauri wangu tu..over..
pole sana vipi umeshafanya mitihani ya board ..? (PSPTB)...wanajamvi ni zaidi ya miaka mitatu tangu nimalize chuo kikuu ila cha kushangaza sina kazi hadi leo..; nlifaulu vizuri kwa kupata upper second, nlisoma b.com in materials management, kwa anayeweza kunisaidia naombeni kazi plz
...una shilingi ngapi Nikuungishe kazi ya maana
Tumia recruitment agencies! Japo wanyonyaji ila afazali kidogo. Ila Eurolink na Shughulika wapotezeee!
npo tayari kutoa hata 1 m
nimemjibu tu coz hana moyo wa kunisaidia kwa kwel siwez kununua kazi
vijana tufikirire kujiajiri jamani capital ya 1.5m inatosha kuendesha maisha yetu ya kila siku,