Game imekuwa ngumu sana,unaposikia wadau wanasema muziki umekuwa biashara basi ujue ni biashara haswa. Ruge ana mazuri yake,ila pia ana mapungufu yake mengi tu...all in all ndio ubepari wenyewe inabidi ukubali hali halisi.
Ila kiukweli muziki umekuwa mgumu sana, tunapoelekea tunaweza tusiinjoi muziki mzuri tena na talents bali watu wenye connection...Pesa inatumika isivyo kawaida, fitna ndio usiseme.