nakumbuka jamaa yangu mmoja alikuwa akiniambia haitokuja tokea kumuoa huyu bint niliokuwa naye. Sababu kubwa aliokuwa akitoa ni kupishana mwaka 1 na binti. akawa ananiambia atakuja kuniacha. Lakin sasa ni mke wangu wa ndoa. Swala hili hulifananishaga na kitabu kinachoitwa "ZAWAD YA USHINDI"
Ona hapa Zari ana miaka 40 na Ivan ana miaka 30 na sasa mzigo unaliwa na potter diamond 25 years old.
Huu sasa wivu tu, kwa hiyo wewe ni mamaake Ivan au ni babaake hadi unajua umri wake? hicho ni kiherehere au kimbelefront. naweza kwambia nina miaka 20 kumbe nina nina 40. waache na maisha yao rekebisha maisha yako ndo yatakupa furaha.
Umepanik nn sasa ht km sio kweli?

Kwahiyo hapa wewe hapa ndio unarekebisha maisha yako?
Halafu ukitoka hapa unaenda kununuwa magazeti ya Shigongo kutafuta umbea.
Pyuuuuuu!! Kufwa for me kama umechukia.
unanikumbusha uswahilini kwangu wanawake wajamii km yako
kweli JF raha, bora mama mana ungeishia kupigana na keyboard tu hata Matola mwenyewe humjui lakini kasema ukwelisijachukia wala tunafurahisha genge tu. Basi nisamehe
Huu sasa wivu tu, kwa hiyo wewe ni mamaake Ivan au ni babaake hadi unajua umri wake? hicho ni kiherehere au kimbelefront. naweza kwambia nina miaka 20 kumbe nina nina 40. waache na maisha yao rekebisha maisha yako ndo yatakupa furaha.
Duuuh miaka kumi upo tu wasuiri ndoa, too long to wait. Naamini kuna watu wanauvumilivu
Kunani bi mkubwa??...weye si mtu wa maneno makali hivi!!!