miaka inakwenda!!

stevoh

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
2,921
Reaction score
1,107
Jamani wanajamii mimi naona muda unaisha na watu wanaanza kuzeeka juzi juzi tu tulikuwa na mzee wa ruksa Mh Mwinyi tukaja tukawa na Mh. Mkapa akamaliza miaka kumi yake leo tuko na Kikwete ambaye nadhan anatupeleka shimoni! Je wewe kuna mabadiliko yoyote uliyoyafanya ndani ya miaka yote hii 27.
 
For JK it's just the begining, there's so much more to come!
lakini hii thread mbona kama ya Jukwaa la Siasa vile?
 
Hizi ndevu naona zimeanza kuwa nyeupe, siku azigandi.
 
Baada ya kumaliza college nimejiajiri, mama lishe
 
For JK it's just the begining, there's so much more to come!
lakini hii thread mbona kama ya Jukwaa la Siasa vile?

naongelea wakati sio siasa usininukuu na kunielewa vibaya
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…