Miaka ile woote tunavaa kaptura/skirt za bluu

Miaka ile woote tunavaa kaptura/skirt za bluu

Chemwali

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2011
Posts
397
Reaction score
178
Loh i miss those years,wanafunzi wote tunasoma shule za aina moja haijalishi mtoto wa nani au wanani..i ref my Primary school Zanaki.
1.Ada ni very affordable but bado watu walikuwa wanarudishwa nyumbani hawajalipa
2. Tunatumwa mbolea,maua bila mwalimu kuwaza mzazi akimkuta mtoto wake mtaani while anajua yupo shule itakuwaje
3. tunapiga magoti,push up,vichura chura,kucheza gwaride na kupigwa fimbo bila hata kujali mtoto ataenda kusema nyumbani
4. tunakula tu vyakula vilivyotuzunguka,mabungo,embe n'gongo' tena yameshamenywa,ubuyu kachori,bila kupatwa na magonjwa
5. unamsaidia mwalimu kusahihisha madaftari yeye amekaa staff anapiga story na bado tunafaulu
6.mwalimu anaposahau miwani nyumbani au chochote anamtuma yoyote akamchukulie
7.watemi walikuwa weengi kuoneana saa ya kutoka
8.wanaochukuliwa na magari wachache saa ya kutoka mwendo wa kwenda kituoni utafikiri maandamano but kila mtu yuko happy

BUT LEOOOOO MMHHH
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom