Miaka hiyoooo....Spika akiwa poa!

Huyu si sita? Sijui na huyo ni mdee
 
Mzee kashika kiutamu! dogo disaini flani kama anaskilizia
 
Enzi hizi Mbowe ana winda saini ya Samwel awe Mgombea Urais na Lowassa ndo anatangazwa Fisadi Papa!
Akiba ya Maneno ina umuhimu wake sana!
 
Thubuutu atakula kofi hilo mpaka vifungu visambae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…