Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,047 Dec 29, 2018 #61 Mpaka shule zifunguliwe tutakoma
The Wolf JF-Expert Member Joined Sep 10, 2013 Posts 9,445 Reaction score 20,822 Dec 29, 2018 #62 kelvnjohn said: nan mtoto m nmezariwa tar04-07-1997 sizan ka n mtoto Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Unabishana na baba zako, kuwa na adabu basi Sent using Jamii Forums mobile app
kelvnjohn said: nan mtoto m nmezariwa tar04-07-1997 sizan ka n mtoto Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Unabishana na baba zako, kuwa na adabu basi Sent using Jamii Forums mobile app
The Wolf JF-Expert Member Joined Sep 10, 2013 Posts 9,445 Reaction score 20,822 Dec 29, 2018 #63 Ninausapoti huu uzi, zifungiliwe nyingi nyingi za udsm, udom, tia n.k Sent using Jamii Forums mobile app
Ninausapoti huu uzi, zifungiliwe nyingi nyingi za udsm, udom, tia n.k Sent using Jamii Forums mobile app
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,047 Dec 29, 2018 #64 kelvnjohn said: nan mtoto m nmezariwa tar04-07-1997 sizan ka n mtoto Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Wewe mtoto sana tena mtoto wangu wa pili nimemzaa mwaka huo
kelvnjohn said: nan mtoto m nmezariwa tar04-07-1997 sizan ka n mtoto Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Wewe mtoto sana tena mtoto wangu wa pili nimemzaa mwaka huo
Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member Joined Feb 19, 2011 Posts 10,590 Reaction score 7,951 Dec 29, 2018 #65 joanah said: Kwani miaka 21 huna haki ya kuwepo humu?mbona ni mingi sana hiyo miaka Click to expand... Wanaume wa Dar wana-mature wakifika miaka 35 kwenda mbele ila si chini ya hapo, si unaona hata comment yake. Irudie kusoma utanielewa nina maana gani.
joanah said: Kwani miaka 21 huna haki ya kuwepo humu?mbona ni mingi sana hiyo miaka Click to expand... Wanaume wa Dar wana-mature wakifika miaka 35 kwenda mbele ila si chini ya hapo, si unaona hata comment yake. Irudie kusoma utanielewa nina maana gani.
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 24,865 Reaction score 89,796 Dec 29, 2018 #66 Mkereketwa_Huyu said: Wanaume wa Dar wana-mature wakifika miaka 35 kwenda mbele ila si chini ya hapo, si unaona hata comment yake. Irudie kusoma utanielewa nina maana gani. Click to expand... Anayejiita mtu mzima hawezi kuandika maneno kama yale
Mkereketwa_Huyu said: Wanaume wa Dar wana-mature wakifika miaka 35 kwenda mbele ila si chini ya hapo, si unaona hata comment yake. Irudie kusoma utanielewa nina maana gani. Click to expand... Anayejiita mtu mzima hawezi kuandika maneno kama yale
Mnazareth JF-Expert Member Joined Dec 4, 2017 Posts 3,474 Reaction score 7,407 Dec 29, 2018 #67 Mtoto wa Baba said: Kaka mdogo wetu amekuja hahahahahahaha Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hahaha hebu atulie asome aachane na jf Sijui tumchape anyway yupo likizo tumuache afurahi Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto wa Baba said: Kaka mdogo wetu amekuja hahahahahahaha Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hahaha hebu atulie asome aachane na jf Sijui tumchape anyway yupo likizo tumuache afurahi Sent using Jamii Forums mobile app
Mnazareth JF-Expert Member Joined Dec 4, 2017 Posts 3,474 Reaction score 7,407 Dec 29, 2018 #68 Suriya said: Inawezekana kweli yupo mwaka wa kwanza. Fom 4 finish-17 years same to me. 18-20 years- advance. 21 years- chuo.. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Umri wake ni sahihi kabisa akiwa mwaka wa kwanza ila aina ya uandishi wake na maelezo aliyoyatoa yanatatiza Sent using Jamii Forums mobile app
Suriya said: Inawezekana kweli yupo mwaka wa kwanza. Fom 4 finish-17 years same to me. 18-20 years- advance. 21 years- chuo.. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Umri wake ni sahihi kabisa akiwa mwaka wa kwanza ila aina ya uandishi wake na maelezo aliyoyatoa yanatatiza Sent using Jamii Forums mobile app
Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member Joined Feb 19, 2011 Posts 10,590 Reaction score 7,951 Dec 30, 2018 #69 joanah said: Anayejiita mtu mzima hawezi kuandika maneno kama yale Click to expand... Unataka niandike kama mwanamme wa Dar au?
joanah said: Anayejiita mtu mzima hawezi kuandika maneno kama yale Click to expand... Unataka niandike kama mwanamme wa Dar au?
Baba Joseph17 JF-Expert Member Joined Jul 15, 2013 Posts 9,518 Reaction score 9,792 Dec 30, 2018 #70 kelvnjohn said: nan mtoto m nmezariwa tar04-07-1997 sizan ka n mtoto Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mwaka uliozaliwa mi nishaanza kugegeda vibinti wewe kwa umri huo ni mwanangu, ila kijana jitahidi kusoma wanawake wapo tu utawakuta na utawachoka Sent using Jamii Forums mobile app
kelvnjohn said: nan mtoto m nmezariwa tar04-07-1997 sizan ka n mtoto Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mwaka uliozaliwa mi nishaanza kugegeda vibinti wewe kwa umri huo ni mwanangu, ila kijana jitahidi kusoma wanawake wapo tu utawakuta na utawachoka Sent using Jamii Forums mobile app
coscated JF-Expert Member Joined Nov 17, 2010 Posts 4,402 Reaction score 4,437 Dec 30, 2018 #71 kelvnjohn said: sizani kama jamii folum kuna wadada chni ya miaka 21 naona ka wengi watu wazima na kama ypo basi ni Geniuz nawanyooshea kambajuane Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... @faizafoxy njoo huku kuna mtu anachafua lugha Sent using Jamii Forums mobile app
kelvnjohn said: sizani kama jamii folum kuna wadada chni ya miaka 21 naona ka wengi watu wazima na kama ypo basi ni Geniuz nawanyooshea kambajuane Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... @faizafoxy njoo huku kuna mtu anachafua lugha Sent using Jamii Forums mobile app
meck pro JF-Expert Member Joined Nov 25, 2018 Posts 1,355 Reaction score 2,932 Dec 30, 2018 #72 ...nimeshafika hapa miaka 20 sasa nipo tu kitaa nabet Leo namuua man city