Pole na changamoto unazo pitia! umasikini ni mbaya sana ,,. naona kuna mazingira flani unaulea, mke wako anapesa ya kuendesha familia, wewe unafanya nini nyumbani ? hiyo ni frusa sepa katafute hela,,. mitume waliuombea mguu uliotoka nyumbani kwenda kutafuta,, usipige vibarua vya kijinga, nenda kalime chochote chenye tija, mbogamboga ndio njia kwako, kalime karibu na miji mikubwa kwa ajiri ya soko, 0Mungu Akutangulie