Dah uyo mwanamke hana hata huruma kwakweli mpaka nimejisikia vibaya binafsi nilikuwa na mapito kama ya kwako lakini nashukuru mungu mke wangu ni mtu mwenye huruma sana kuna baadhi ya vitu alikuwa ananikampaniAnafuata msemo wa kwenye biblia kwamba mwanaume atakula kwa jasho so nahisi anasubiri nitusue mwaka wowote ule nitumie hela nliyoitafuta kwa jasho langu kufanya masuala ya mahari na maendeleo mengine ya kifamilia yeye kuniazima ya kwake labda anaona anaenda kinyume na maandiko
Sent using Jamii Forums mobile app
duu!Mkuu hapa napo ni utata manake mi muislam yeye mkristo na kwao wanaulokole flani na yeye kubadili Dini hataki ,
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mume na mke ni kitu kimoja, lugha ya kuazimana pesa sijui inatokea wapi? You are supposed to share 💯% with your better half. Vinginevyo ndo itaingia lugha ya hiki cha mama, kile cha Baba, na sio hivi ni vya familia. Besides, kwenye ndoa mmoja hapaswi kuchukua mkopo bila kukubaliana na mwenzake juu ya matumizi na mipango ya huo mkopo. You are painting a good picture of her (which is a good thing), but there's definitely a weak link somewhere.Pole kijana mwenzangu kwa misukosuko na mm nilipitia ayo aisee, sema mim nina wasiwasi na mpenzi wako kama amechukua mkopo alishindwa kukuazima pesa ya kupeleka posa mana navyojua mimi wewe na mkeo kitu kimoja sasa nashindwa kuelewa kama ulimpa nauli ya kwenda kufanya interview na kazi akapata sasa iweje kakopa pesa alafu hashindwe kukukopesha hili ukalipe mahali
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahaha huu Uzi ilikua changamsha kijiwe ila Uzi wa Leo ni reality mkuu nna miaka 7 kwenye mahusiano bila ndoaTangu Jana jioni hapokei simu hajibu meseji - JamiiForums
Kwa hiki ulichokiandika katika Uzi huu endelea tu kutopata pesa huna maana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kujilipia mahari mbona ipo mkuu na ni kawaida tu japo kwako sio applicable
Mkuu wewe ni muislamu ndoa ya bomani sijui ya kiserikali sio ndoa Kwa mujibu wa uislamu.
Ipo siku utakuja kusema hata Uzi huu ulikua unachangamsha gengeAhahahaha huu Uzi ilikua changamsha kijiwe ila Uzi wa Leo ni reality mkuu nna miaka 7 kwenye mahusiano bila ndoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh kumbe inawezekana, sema kwa Uyu ndugu yetu shida nafikiri ni dhehebu tofauti ndio shida hapoCommunication, mnawataarifu wazazi kuwa mambo yamekaa vibaya ila mnaomba baraka za Mungu. unapeleka posa au unaweza kumtuma mshenga akirudi na barua ya mahitaji mnaiweka sandukuni kwanza pesa ikipatikana mna bariki ndoa na sherehe kubwa
Ndoa ya kiislamu ni simple mkuu, unless kuna lingine ile fanya uoe mkuu zinaa ni haramu!!!
Mkuu wewe ni muislamu ndoa ya bomani sijui ya kiserikali sio ndoa Kwa mujibu wa uislamu.
Zinaa pia ni haramu kwenye uislamu ndio maana ndoa ikafanywa simple kisheria.
Mungu akufanyie wepesi ndugu yangu uweze kuoa haraka!!
Amiina!!
Nimekuelewa vizuri sana mkuu umechambua vzuri sana, mimi ninachokiona hapo kwa uyu ndugu yetu mama watoto kuna vitu hanakosa kama mama mwenye nyumba nafikiri haja pray part yake pamoja na kushirikiana na mwenzakeKama mume na mke ni kitu kimoja, lugha ya kuazimana pesa sijui inatokea wapi? You are supposed to share% with your better half. Vinginevyo ndo itaingia lugha ya hiki cha mama, kile cha Baba, na sio hivi ni vya familia. Besides, kwenye ndoa mmoja hapaswi kuchukua mkopo bila kukubaliana na mwenzake juu ya matumizi na mipango ya huo mkopo. You are painting a good picture of her (which is a good thing), but there's definitely a weak link somewhere.
Kamanda atalipaje sasa wakat amekwambia mishe zimebuma kila sehemu na shemeji yetu nae hataki kutoa mpunga wakeKamanda lipa hata kishika uchumbauonekane upo serious miaka 7 mingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamanda atalipaje sasa wakat amekwambia mishe zimebuma kila sehemu na shemeji yetu nae hataki kutoa mpunga wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu kasha isha hana pesa hawezi kusema lolote mbele ya mke mwenye pesa amebakiza kubadili Dini ili kufuata kipato.Quran inasemaje kuhusu hilo?
Na tena hiyo M 15 ni kubwa, kama amefanyia jambo, litakuwa linaonekana kwa macho...Huyo msichana ameshindwa hata kumuwezesha kidogo jamaa!!!Pole kijana mwenzangu kwa misukosuko na mm nilipitia ayo aisee, sema mim nina wasiwasi na mpenzi wako kama amechukua mkopo alishindwa kukuazima pesa ya kupeleka posa mana navyojua mimi wewe na mkeo kitu kimoja sasa nashindwa kuelewa kama ulimpa nauli ya kwenda kufanya interview na kazi akapata sasa iweje kakopa pesa alafu hashindwe kukukopesha hili ukalipe mahali
Sent using Jamii Forums mobile app
Lol kweli nimeamini wanawake pesa zao ni za moto sana yani watu mke na mme wanashindwa kushirikishana kwenye pesawanawake wengi hela yao ngumu, ila atafute njia mbadala maana kiserikali watambulika kama ni mke na mume
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, imebidi nicheke mkuu jinsi ulivyo komentiHuyu kasha isha hana pesa hawezi kusema lolote mbele ya mke mwenye pesa amebakiza kubadili Dini ili kufuata kipato.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakweli mkuu yani imebidi nishangae sana yani 15M kazitumia mwanamke zote wakat mume wake hana mbele wala nyuma inamana uyo dada anajisikia raha kumwona jamaa ake anavyozalilikaNa tena hiyo M 15 ni kubwa, kama amefanyia jambo, litakuwa linaonekana kwa macho...Huyo msichana ameshindwa hata kumuwezesha kidogo jamaa!!!
Jamaa kaandika kama amekosea sana, lkn ndani yake na majibu yake anaonekana wangeshirikiana na msichana wangefanikisha kitu.
There is problem somewhere.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kweli ni Mkatoliki ushauri huu unamfaa sanaNyinyi ni dini gani? Kama ni wa Wakatoliki nendeni kwa padri muandikishe ndoa. Mnafunga ya kati kati ya wiki baada ya misa ya kwanza. Nyinyi na mashahidi wenu tu lakini mtaishi kwa haki mbele ya macho ya Mungu.