Miaka 53 ya uhuru, ni uhuru kwa nchi gani?

charz91

Member
Joined
Aug 10, 2013
Posts
34
Reaction score
12
MIAKA 53 YA UHURU, NI UHURU KWA NCHI
GANI?

Leo 9 Dec 2014 Ni mwaka wa 53 tangu ile nchi
iliyofahamika zamani kama Jamhuri ya watu wa
Tanganyika ijipatie uhuru wake mnamo 9 Dec
1961.

Hakuna siri, na wala sidhani kama kuna mtu
yeyote anaweza kubisha hili la kwamba Jamhuri
ya watu wa Tanganyika iliuliwa mnamo April 26
1964, katika ile ajari mbaya ya "Muungano wa
kipekee kati yake na Jamhuri ya watu wa
Zanzibar." Wala sitaki kujishughurisha kutoa
ufafanuzi kwenye jambo hili, kwa maana hata
wale wanaopiga kelele juu ya Uhai wa Tanganyika
wana ukweli ndani ya mioyo yao kwamba Jamhuri
ya Tanganyika ilikufa kwa hila siku ile ya April 26,
1964.

Nirejee basi kwenye kichwa cha makala yangu,
kilichohoji MIAKA 53 YA UHURU, NI UHURU KWA
NCHI GANI? Naam, lazima tujiulize Je, ni Nchi
gani hiyo ambayo hii leo inaadhimishiwa miaka
hiyo 53? Kwa maana kama Tanganyika mbona
ilishakufa, au kama uhuru wa leo ni uhuru kwa
Tanzania Bara kama wasemavyo watawala wetu
ama ninavyomsikia huyu mtangazaji wa TBC Taifa
akitangaza, ni vyema hawa watawala wetu na
chombo chao hiki wakatoa semina kwa umma,
wakituelimisha nasi tukaijua hiyo Tanzania Bara.

Lakini Kama tunajua kuwa Tanganyika ilikwisha
zikwa tangu mwaka 1964, sasa iwaje leo
tuadhimishe siku yake ya kuzaliwa? Hivi toka lini
tukafanya birthday ya mtu ambaye
amekwishakufa?
Kwakweli ni ujuha mkubwa kusheherekea kitu
ambacho sisi wenyewe tunakubali kuwa
kilikwishakufa, kwani si ni sisi ambao tuliingia
Bunge la katiba tukiipinga na kuikataa hii nchi
ambayo leo tunaisheherekea siku ya kuzaliwa
kwake?, si ni sisi wenyewe ambao tuliwatukana
wale wengine waliokuwa na ndoto za kumfumfua
huyu tunayemsheherekea leo, sasa kwanini? leo
sisi wenyewe tutumie mabilioni kumkumbuka
yule tusiyemtaka?

Wakati wenzangu wakiwa kule shamba la bibi
wakiimba na kusheherekea siku yakuzaliwa ya
mfu, mimi niko nyumbani kwangu nikiandaa
chakula cha mchana na kwavile nimejiridhisha
yakuwa wako pale wakifanya mwendelezo wa wizi
wa mali ya Umma, wakitumia rasilimali za taifa
bila tija, wakifisadi na kutafuna matunda ya nchi
waliyoiua, kwakweli sina haja yakuwafatilia zaidi
wacha nijilie ugali wangu na samaki, baadae
nikafurahie mapumziko kwavile leo ni siku
yakuwa huru.

TUTAFAKARI SIKU HII NA TUJIULIZE YALIYOTOKEA
BUNGE LA KATIBA, NA ITOSHE KUSEMA ULE
ULIKUWA UJUHA?
 
Tunasherehekea miaka 53 ya uhuru wa Tanzania na sio Tanganyika, kwa sababu maandimisho ni present, kilichopo sasa!, japo ni kweli iliyopata uhuru ni Tanganyika, which doesn't exist any more, kilichopo sasa ni Tanzania, tunasherehekea uhuru wa Tanzania.

Japo Tanganyika doesn't exist any more, kilichopo sasa ni Tanzania, na eneo la ilipokuwa Tanganyika ndio Tanzania bara!, haina maana Tanganyika ni dead, it just ceased to exist, if anything happens to muungano, Tanganyika inaweza kurudi!.

Hata hivyo kumbukumbu ni kumbukumbu tuu, kuandimishwa siku ya kuzaliwa sio lazima huyo mtu awepo!, kila siku tunaadhimisha siku za kuzaliwa wapendwa wetu hata kama hawapo, ikiwemo moja ya sikukuu kubwa kabisa duniani, siku ya Krismas, pia ni kumbukumbu ya kuzaliwa Masiya!.

Pasco
 
Hizi ni blah blah.. kamwe huwezi kupata hoja ya kutetea maadhimisho haya logically kwa jina la Tanzania na mtu akakuelewa. Tena kwa kuweka miaka (mfano 53 ) ndo mnazidi kujimix kabisa. Straight facts huwa hazipindishiwi ni bora zikaachwa hivyo hivyo. Kimsingi haina maana kutumia mamilioni kama sio mabilioni ya fedha za walipa kodi kila mwaka kusherekea uhuru wa nchi ambayo watawala wanasema haiexist. Why all this?
 
Wewe juha kweli. Tanganyika ipo na itabaki hivyo. Lengo la muungano lilikuwa kuimeza Zanzibar kwa kuwa ni nchi ya kiislamu. Nyerere, kwa kushirikiana na kanisa katoliki, alidhamiria kuufuta uislamu kabisa visiwani. Zamani kuingia Znz ilikuwa kwa pp. Siku hizi free. Ndio maana kuna vikundi radicals ZNZ havitaki muungano, ikiwemo CUF. Tanganyika ipo, na jana tumesherehekea uhuru wa Tanganyika. Hakuna nchi inayoitwa Tanz. Bara!!!
 
Hizi ni blah blah.. kamwe huwezi kupata hoja ya kutetea maadhimisho haya logically kwa jina la Tanzania na mtu akakuelewa. Tena kwa kuweka miaka (mfano 53 ) ndo mnazidi kujimix kabisa. Straight facts huwa hazipindishiwi ni bora zikaachwa hivyo hivyo. Kimsingi haina maana kutumia mamilioni kama sio mabilioni ya fedha za walipa kodi kila mwaka kusherekea uhuru wa nchi ambayo watawala wanasema haiexist. Why all this?
Kisicho exist ni jina la Tanganyika tuu, ambalo sasa ni Tanzania Bara, lakini nchi yenyewe kwa maana ya being, ipo, ime change tuu name!.

Mwanamke kabla hajaolewa alikuwa anaitwa fulani, maiden name yake, akisha olewa ana change name kuwa Mrs. fulani, kinachobadilika ni jina tuu lakini ile being yake bado ipo!, na siku ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa, ina ni birthday ya Mrs Fulani, na sio ya ile maiden name yake iliyo cease to exist!, mwanamke huyo huyo akipigwa talaka, ile maiden name yake inarudi!. Muungano ukivunjika, jina la Tanganyika linarudi!, kwa sasa ndio hii Tanzania bara!.

Pasco.
 
MIAKA 53 YA UHURU, NI UHURU KWA NCHI
GANI?

Leo 9 Dec 2014 Ni mwaka wa 53 tangu ile nchi
iliyofahamika zamani kama Jamhuri ya watu wa
Tanganyika ijipatie uhuru wake mnamo 9 Dec
1961.

Hakuna siri, na wala sidhani kama kuna mtu
yeyote anaweza kubisha hili la kwamba Jamhuri
ya watu wa Tanganyika iliuliwa mnamo April 26
1964, katika ile ajari mbaya ya "Muungano wa
kipekee kati yake na Jamhuri ya watu wa
Zanzibar." Wala sitaki kujishughurisha kutoa
ufafanuzi kwenye jambo hili, kwa maana hata
wale wanaopiga kelele juu ya Uhai wa Tanganyika
wana ukweli ndani ya mioyo yao kwamba Jamhuri
ya Tanganyika ilikufa kwa hila siku ile ya April 26,
1964.

Nirejee basi kwenye kichwa cha makala yangu,
kilichohoji MIAKA 53 YA UHURU, NI UHURU KWA
NCHI GANI? Naam, lazima tujiulize Je, ni Nchi
gani hiyo ambayo hii leo inaadhimishiwa miaka
hiyo 53? Kwa maana kama Tanganyika mbona
ilishakufa, au kama uhuru wa leo ni uhuru kwa
Tanzania Bara kama wasemavyo watawala wetu
ama ninavyomsikia huyu mtangazaji wa TBC Taifa
akitangaza, ni vyema hawa watawala wetu na
chombo chao hiki wakatoa semina kwa umma,
wakituelimisha nasi tukaijua hiyo Tanzania Bara.

Lakini Kama tunajua kuwa Tanganyika ilikwisha
zikwa tangu mwaka 1964, sasa iwaje leo
tuadhimishe siku yake ya kuzaliwa? Hivi toka lini
tukafanya birthday ya mtu ambaye
amekwishakufa?
Kwakweli ni ujuha mkubwa kusheherekea kitu
ambacho sisi wenyewe tunakubali kuwa
kilikwishakufa, kwani si ni sisi ambao tuliingia
Bunge la katiba tukiipinga na kuikataa hii nchi
ambayo leo tunaisheherekea siku ya kuzaliwa
kwake?, si ni sisi wenyewe ambao tuliwatukana
wale wengine waliokuwa na ndoto za kumfumfua
huyu tunayemsheherekea leo, sasa kwanini? leo
sisi wenyewe tutumie mabilioni kumkumbuka
yule tusiyemtaka?

Wakati wenzangu wakiwa kule shamba la bibi
wakiimba na kusheherekea siku yakuzaliwa ya
mfu, mimi niko nyumbani kwangu nikiandaa
chakula cha mchana na kwavile nimejiridhisha
yakuwa wako pale wakifanya mwendelezo wa wizi
wa mali ya Umma, wakitumia rasilimali za taifa
bila tija, wakifisadi na kutafuna matunda ya nchi
waliyoiua, kwakweli sina haja yakuwafatilia zaidi
wacha nijilie ugali wangu na samaki, baadae
nikafurahie mapumziko kwavile leo ni siku
yakuwa huru.

TUTAFAKARI SIKU HII NA TUJIULIZE YALIYOTOKEA
BUNGE LA KATIBA, NA ITOSHE KUSEMA ULE
ULIKUWA UJUHA?
Watangazaji wako very right, tunasherehekea miaka 53 ya uhuru wa Tanzania na sio Tanganyika, kwa sababu maandimisho ni present, kilichopo sasa!, japo ni kweli iliyopata uhuru ni Tanganyika, which doesn't exist any more, kilichopo sasa ni Tanzania, tunasherehekea uhuru wa Tanzania.

Jee wewe mkuu JayJay siku ulipozaliwa ulizaliwa na jina?!, unaposherehekea siku yako ya kuzaliwa, jee unasherehekea siku ya kuzaliwa yule mtoto aliyezaliwa siku ile bila jina, au huyu Jay Jay aliyepo?!.

Na kama ni mwanamke, tuseme umeolewa na Pasco, hiyo Jay Jay was a maiden name, sasa ameolewa anaitwa Mrs. Pasco, siku ya kuadhimisha birthday yako tutaadhimisha siku ya kuzaliwa ya Mrs. Pasco, sio ya Jay jay wala ya yule mtoto asiye na jina!.

Tanganyika doesn't exist any more, kilichopo sasa ni Tanzania, na eneo la ilipokuwa Tanganyika ndio Tanzania bara!.

NB Apology in advance in case Jay Jay is a male!.

Pasco.
Wajameni ni katika kukumbushana tuu kuwa maadhimisho ya leo ni ya Uhuru wa Tanzania, na sio wa Tanganyika!.
Nawatakia sikukuu njema ya Uhuru na Jamhuri.
P
 
Mimi naona kulikuwa na kasoro kubwa kuliondoa jina la Tanganyika ktk kuutambulisha muungano wetu na watu wa Zanzibar. Labda pengine ilikuwa ni "psychological strategy" ambayo Mwl. Nyerere aliitumia ili kuonyesha umuhimu wake na hata kulitosa jina hili la asili.

Lakini hata kama jina Tan-Zan-ia lilionekana lina akisi hali fulani ya majina ya nchi mbili zilizoungana, bado kulikuwa haja, na hata sasa bado ipo haja ya kuzitambua nchi husika kutokana na majina yake ya asili, yaani Tanganyika na Zanzibar, badala ya Tanzania Bara na Tanzania Visiwani ambayo hata kuyatambulisha kwake kama sehemu za muungano hayaleti ladha nzuri kimaudhui.

Kwa hiyo nakubaliana na mtoa mada, tuadhimishapo miaka 58 ya Uhuru wa Tanganyika, tunakuwa tumeficha uhalisia wa tukio husika kwa kisingizio cha jina la Tanzania Bara. Kwa nini tulilikwepa na tunalikwepa jina la utambulisho wa Tanganyika huru? Ama ndiyo mojawapo ya masharti ya kupeperusha mwenge wa uhuru? Don't mind me, it's just a joke.
 
Wanabodi, leo ni tunasherehekea miaka 60 ya uhuru wa Tanzania na sio Tanganyika, kwa sababu maandimisho ni present, kilichopo sasa!, japo ni kweli iliyopata uhuru ni Tanganyika, which doesn't exist any more, kilichopo sasa ni Tanzania, tunasherehekea uhuru wa Tanzania.

Jee wewe mkuu usomae hapa, ile siku ulipozaliwa, jee unajua ulizaliwa bila jina?, unaposherehekea siku yako ya kuzaliwa, jee unasherehekea siku ya kuzaliwa yule mtoto aliyezaliwa siku ile bila jina, au huyu aliyepo mwenye jina?!.

Na kama ni mwanamke, anakuwa na Maiden Name, akiolewa ana change name, kuasume jina la mumewe, tuseme umeolewa na Pasco, hiyo, sasa ameolewa anaitwa Mrs. Pasco, siku ya kuadhimisha birthday yako tutaadhimisha siku ya kuzaliwa ya Mrs. Pasco, sio binti fulani wala ya yule mtoto asiye na jina!.

Tanganyika was an area with a Name Tanganyika. Now that name doesn't exist any more, kilichopo sasa ni Tanzania Bara, na eneo la ilipokuwa Tanganyika ndio eneo la Tanzania bara!.

Hivyo leo kumbukumbu ni ya uhuru wa Tanganyika, lakini maadhimisho na kusherehekea ni uhuru wa Tanzania Bara kwa kifupi Tanzania

Pasco.
Wajameni ni katika kukumbushana tuu kuwa maadhimisho ya leo ni ya Uhuru wa Tanzania, na sio wa Tanganyika!.
Nawatakia sikukuu njema ya Uhuru na Jamhuri.
Paskali
 
Watanganyika tusha poteza taifa letu na utambulisho wetu tuwe wapole kwa kulinda amani au tuanze kudai Tanganyika yetu maana wazanzibar Wana Zanzibar yao sisi tupo na Tanzania sio Tanganyika
 
Kisicho exist ni jina la Tanganyika tuu, ambalo sasa ni Tanzania Bara, lakini nchi yenyewe kwa maana ya being, ipo, ime change tuu name!.

Mwanamke kabla hajaolewa alikuwa anaitwa fulani, maiden name yake, akisha olewa ana change name kuwa Mrs. fulani, kinachobadilika ni jina tuu lakini ile being yake bado ipo!, na siku ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa, ina ni birthday ya Mrs Fulani, na sio ya ile maiden name yake iliyo cease to exist!, mwanamke huyo huyo akipigwa talaka, ile maiden name yake inarudi!. Muungano ukivunjika, jina la Tanganyika linarudi!, kwa sasa ndio hii Tanzania bara!.

Pasco.
😁😁😁, Hivo Tanzania ilipatikana baada ya Tanganyika kuoa visiwa vile?!!

Halafu, kwanini hii hoja iibuliwe kipindi hiki?!
Au kwakua aliyepo madarakani ni wa upande ule?!

Nahisi hapa pana harufu ya kuongeza hii hoja kwenye ile list ya kero za muungano.

Hii nchi ni mawazo ya kiupigaji pigaji tu.
 
Tunasherehekea miaka 53 ya uhuru wa Tanzania na sio Tanganyika, kwa sababu maandimisho ni present, kilichopo sasa!, japo ni kweli iliyopata uhuru ni Tanganyika, which doesn't exist any more, kilichopo sasa ni Tanzania, tunasherehekea uhuru wa Tanzania.

Japo Tanganyika doesn't exist any more, kilichopo sasa ni Tanzania, na eneo la ilipokuwa Tanganyika ndio Tanzania bara!, haina maana Tanganyika ni dead, it just ceased to exist, if anything happens to muungano, Tanganyika inaweza kurudi!.

Hata hivyo kumbukumbu ni kumbukumbu tuu, kuandimishwa siku ya kuzaliwa sio lazima huyo mtu awepo!, kila siku tunaadhimisha siku za kuzaliwa wapendwa wetu hata kama hawapo, ikiwemo moja ya sikukuu kubwa kabisa duniani, siku ya Krismas, pia ni kumbukumbu ya kuzaliwa Masiya!.

Pasco

Nawatakia maadhimisho mema ya siku ya Uhuru na Jamhuri, nikiendelea kusisitiza, kumbukumbu ndio kumbukumbu za uhuru wa Tanganyika, lakini maadhimisho ni maadhimmisho ya uhuru wa Tanzania. Darsa: Maadhimisho ya Leo, ni ya Uhuru wa Tanzania, yaani, Tanzania National Day, ila Kumbukumbu Ndio ya Uhuru wa Tanganyika!
P
 
Tunasherehekea miaka 53 ya uhuru wa Tanzania na sio Tanganyika, kwa sababu maandimisho ni present, kilichopo sasa!, japo ni kweli iliyopata uhuru ni Tanganyika, which doesn't exist any more, kilichopo sasa ni Tanzania, tunasherehekea uhuru wa Tanzania.

Japo Tanganyika doesn't exist any more, kilichopo sasa ni Tanzania, na eneo la ilipokuwa Tanganyika ndio Tanzania bara!, haina maana Tanganyika ni dead, it just ceased to exist, if anything happens to muungano, Tanganyika inaweza kurudi!.

Hata hivyo kumbukumbu ni kumbukumbu tuu, kuandimishwa siku ya kuzaliwa sio lazima huyo mtu awepo!, kila siku tunaadhimisha siku za kuzaliwa wapendwa wetu hata kama hawapo, ikiwemo moja ya sikukuu kubwa kabisa duniani, siku ya Krismas, pia ni kumbukumbu ya kuzaliwa Masiya!.

Pasco
Happy Uhuru Day
P
 
Back
Top Bottom