miaka 50 ya Uhuru bado tunamwabudu malikia Victoria!


KAUDO

KAUDO

Senior Member
Joined
Aug 10, 2011
Messages
139
Likes
0
Points
0
KAUDO

KAUDO

Senior Member
Joined Aug 10, 2011
139 0 0
Kuna ubaya gani kurudisha jina letu la Lweru kama ilivyokuwa zamani badala ya kuendelea kutumia jina la Victoria eti kwa heshima ya aliyekuwa malkia wa Uingereza?(Lweru-Ziwa Victoria)
 

Forum statistics

Threads 1,250,260
Members 481,278
Posts 29,726,028