Miaka 50 ya mapinduzi

Mr rockman

Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
5
Reaction score
0
Eti kwa haraka haraka ile sherehe imetumia pesa kiasi gani? ivi kwa ile hela tusingeweza kupata tc scani( sijui nimepatia) ah mi siyo doctor ata ivo, ila namanisha kile kipimo cha kuchunguza mwili wa m2,moja tu nakuokoa maisha ya wabongo kibao,mawazo yangu
 
Ukilinganisha kila kitu na thamani ya pesa utajikuta unashindwa kunywa bia kwani bia tano ni mfuko mmoja wa saruji. Hizo ndiyo kiuchumi tunaziita "Opportunity cost".

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…