Wanabodi tarehe kama ya leo miaka minne iliyopita sitaishau kwenye maisha kwani ni siku niliyofunga ndoa na mke wangu mpendwa mrs Kurunzi nakumbuka ni mwaka mmoja baada ya kuwa member kamili hapa bodini.
Munguu mkuu katika miaka hiyo mnne tumebarikiwa kupata watoto wawili a girl 4yrs and a boy 1.5yrs.
Mwambie mama Kurunzi unasalimiwa na rafiki yako madam Benokolongokonongose