Karucee JF-Expert Member Joined Mar 11, 2012 Posts 18,175 Reaction score 34,410 May 27, 2020 #81 Kuna ka wimbi ka hii age group kuvizia akina mama wa hiyo age. Lengo Ni kutest mitambo ikiwaka Basi wanataka wajiweke mazima huku full mtelezo kwenye ganda la ndizi. Manina.
Kuna ka wimbi ka hii age group kuvizia akina mama wa hiyo age. Lengo Ni kutest mitambo ikiwaka Basi wanataka wajiweke mazima huku full mtelezo kwenye ganda la ndizi. Manina.
Lyamber JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 11,737 Reaction score 18,920 May 28, 2020 #82 faruJoh said: Kwahyo wew una miaka 24 huyo single mother ana 37 Sasa hapo kabla ya mchezo ushatembea na point Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Huyu sio single mother ni double mother...
faruJoh said: Kwahyo wew una miaka 24 huyo single mother ana 37 Sasa hapo kabla ya mchezo ushatembea na point Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Huyu sio single mother ni double mother...
soul provider JF-Expert Member Joined Jun 21, 2014 Posts 1,346 Reaction score 2,160 May 28, 2020 #83 Mission kama hizo wenzak tunakuaga kimya, wewe hata chiu hujapewa ushaanza kelele kila kona. Behave!..
Mission kama hizo wenzak tunakuaga kimya, wewe hata chiu hujapewa ushaanza kelele kila kona. Behave!..
Yudatade Edesi Shayo JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 2,903 Reaction score 4,354 May 28, 2020 #84 Kaka karibu ,,...kwa sasa natoka shavu tu
financial services JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 18,139 Reaction score 43,362 May 28, 2020 #85 Soyuncu said: Yan wa Tz bwana yan mtu kuchapia kwnye "l" na "r" Imekua bonge la debate.. Click to expand... Umechapia ama hujui?,haiwezekani kosa likajirudia uzi mzima bana, kubali tu hujui matumizi yake na ujifunze, kwani huko chuo umeenda kusomea ujinga?😀
Soyuncu said: Yan wa Tz bwana yan mtu kuchapia kwnye "l" na "r" Imekua bonge la debate.. Click to expand... Umechapia ama hujui?,haiwezekani kosa likajirudia uzi mzima bana, kubali tu hujui matumizi yake na ujifunze, kwani huko chuo umeenda kusomea ujinga?😀
financial services JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 18,139 Reaction score 43,362 May 28, 2020 #86 Soyuncu said: Wengine hatunaga receptor za HIV.. so tunaingia popote.. Show show Click to expand... Ooh haya hongera
Soyuncu said: Wengine hatunaga receptor za HIV.. so tunaingia popote.. Show show Click to expand... Ooh haya hongera
sjosh4 JF-Expert Member Joined Apr 10, 2020 Posts 888 Reaction score 942 May 28, 2020 #87 Slope kwenye ubora wake,
Soyuncu Senior Member Joined Nov 20, 2019 Posts 193 Reaction score 228 May 29, 2020 Thread starter #88 Sawa Umeshinda financial services said: Umechapia ama hujui?,haiwezekani kosa likajirudia uzi mzima bana, kubali tu hujui matumizi yake na ujifunze, kwani huko chuo umeenda kusomea ujinga? Click to expand...
Sawa Umeshinda financial services said: Umechapia ama hujui?,haiwezekani kosa likajirudia uzi mzima bana, kubali tu hujui matumizi yake na ujifunze, kwani huko chuo umeenda kusomea ujinga? Click to expand...