Miaka 37 Vs miaka 24...

Subiri mizinga ya inakuja
 
Umeniboa kwenye Mpila sijajua unaongea lugha gani?
 
Unafahamu kama chuo kinafunguliwa na tar 1 ni darasani??, nenda kakomae na kitabu achana na masugar mamy hao, usijepewa goma ikawa hasara kwa wazazi bure.

Halafu jifunze matumizi ya "R" na "L" si "Vizuli ni vizuri" nk.😏
 
Yan wa Tz bwana [emoji23][emoji23][emoji23] yan mtu kuchapia kwnye "l" na "r" Imekua bonge la debate..
 
Wengine hatunaga receptor za HIV.. so tunaingia popote.. Show show
Unafahamu kama chuo kinafunguliwa na tar 1 ni darasani??, nenda kakomae na kitabu achana na masugar mamy hao, usijepewa goma ikawa hasara kwa wazazi bure.

Halafu jifunze matumizi ya "R" na "L" si "Vizuli ni vizuri" nk.[emoji57]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…