Ni kweli humu nimeingia na elimu ya msingi..sikufanikiwa kuendelea na shule japo nilijiendeleza kupitia mitandao ya kijamii na kwa marafiki pia nilitumia dictionary kuijua lugha ya wazungu kidogo
Niseme tu sijutii kuikosa elimu!
Kamanda wewe hujaikosa elimu,uliipata na uliitumia kuleta mabadiliko chanya aliyokuwa ameyakusudia babu yako. Hivyo ndo elimu inapaswa kutukumboa na zipo aina mbili kuna elimu ya mfumo rasmi ile ya kukaa darasani na elimu nje ya mfumo rasmi ile tuipatayo ije ya darasa. Maisha tu yenyewe ni elimu taka usitake kila hatua kunashule tunapitia. NAMALIZIA HIVI HUKUKOSA ELIMU ILA ULIIPATA NA NDO IMEKUFIKISHA HAPO BAADA YA WEWE KUIPOKEA NA KUITUMIA