We vipiUmeingia jf kwa elimu ya msingi?, manake hujaelezea kama ulifanikuwa kuendelea na sekondari hadi .
Poa mkuuNi kweli humu nimeingia na elimu ya msingi..sikufanikiwa kuendelea na shule japo nilijiendeleza kupitia mitandao ya kijamii na kwa marafiki pia nilitumia dictionary kuijua lugha ya wazungu kidogo
Niseme tu sijutii kuikosa elimu!
young kilimanjaro
Poa mkuuNi kweli humu nimeingia na elimu ya msingi..sikufanikiwa kuendelea na shule japo nilijiendeleza kupitia mitandao ya kijamii na kwa marafiki pia nilitumia dictionary kuijua lugha ya wazungu kidogo
Niseme tu sijutii kuikosa elimu!
young kilimanjaro
Bado mkuuNimependa ulivyopambana,hongera sana,baba ameshapona??
Poa kiranjaWe vipi
Kwani jf watu wanatakiwa waingie na elimu ya phd, mbona mi.nimeishia la tatu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu amjalie afya njemaBado mkuu
young kilimanjaro
Isiyokuwa na likizo.Maisha safari ndefu.
Niliiona pia, ila yeye alifanya kazi kwa baba yake mdogo ndo alimsaidia mpaka akatoka kimaisha. Inafanana kwa kiasi kikubwa na hii.Pole Sana Mkuu, historia yako inafanana na jamaa flani hivi huku ndani aliwahi kuiweka.
Sure.Niliiona pia, ila yeye alifanya kazi kwa baba yake mdogo ndo alimsaidia mpaka akatoka kimaisha. Inafanana kwa kiasi kikubwa na hii.
Huyu nahisi kakopi mahali...Pole Sana Mkuu, historia yako inafanana na jamaa flani hivi huku ndani aliwahi kuiweka.
Ungekulia alikokiliahongera babu. hongera kijana kwa kuwa msikivu
UmeanzaUngekulia alikokilia
miss chagga
Ungekuwa wee ndo dangote
Any way hongera mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app