Miaka 19 kwa 30 inafaa?

huyo dogo unamjua -
 
Ngachoka!!!!!!!!
 
sound ipo wewe oa tu kwa vile umeweza kumtongoza hautoshindwa tena
 
Nibemende nibemende....hahaha naimba tu!!!

Naona kaji inzi kamefia kwenye bonge la lijidonda...
 

Ukijtoa,kujinyima kukopa wakati mwingine kuwapa watoto kila kilicho kizuri ni siri ya mzazi anajua mangapi anayapitia ila mwisho wa siku hawa watoto turn to be burden juu yetu na mema tuliyo wafanyia
He is too young to date such an old lady agements wake hajawaona?atlist i would have been a girl ninge jaribu kuelewa maana a girl matures earlier and she can bear some responsibilities at early age kijana bado ni mdogo and anajitaji kuwa under parental care
 
wenyewe wanasema love is blind, wapendane tu kama wamependana lakini wategemee critisizms nyingi kutoka kwa jamii
 

Na wewe umepata mbunge? Mnaanza hv hv baadae mnatusumbua kutaka misaada ya kuachika, na malalamiko kibao kwamba mmefichiwa vyeti tulia kwenu bado kinda sana wewe, ati unajisomesha sasa huyu aliyekuzidi umri wa nini wakati wapo wa umri wako? unakimbia majukumu unataka ukawekwe kinyumba, jiandae kwa majukumu na sio kushikiwa akili
 
Ndoa zimekua fursa,,,ingawa Quran na Bible zinasisitiza ndoa kwa muktadha wa kidini na mahitajio ya mwili wa binadam,ila now ndoa ni fursa
 
difference hapo 11 ambayo kwangu ni ndogo ilimradi mwanaume awe hasomi....
 
mtume wetu alioa mwanamke ana miaka 40 yeye akiwa only .20 yrs sion shida hapo labda kama. din haikuruhusu.
 
Nzi kufia kwenye kidonda sio ufala ila kupenda

Naona nia yako kubemendwa mi napenda wanawake walionizidi umri ila sio kihivyo...!!
 
shikamoo jf.......................................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…