Malyakishu
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 1,968
- 2,354
wamesema 19
kuna usemi unasema ukiwa muongo kuwa na kumbukumbu cdhan kama tanzania kuna mtoto anamiaka 16 ni form six tena kwa mfumo wa shule zetu za kawaida wameframe case wakasahau kuframe umri
oya em kwanza tutake radhi kwakutuita wakorofi
Watoto wengine huwa wana uwezo sana darasani hivyo kurukishwa madarasa huko shule za msingi au huwnda alifanya habari za qt jaribu kufuatilia usibishe tu mkuu izzokuna usemi unasema ukiwa muongo kuwa na kumbukumbu cdhan kama tanzania kuna mtoto anamiaka 16 ni form six tena kwa mfumo wa shule zetu za kawaida wameframe case wakasahau kuframe umri
Watoto wengine huwa wana uwezo sana darasani hivyo kurukishwa madarasa huko shule za msingi au huwnda alifanya habari za qt jaribu kufuatilia usibishe tu mkuu izzo
ndo nilikuwa naangalia hapa taarifa ya habari ITV , kwenye umri wa 16 form six wongo mtupu, labda kasoma shule za academia , lakini nilipomaikiliza kwenye mirado ayo hana dalili za kusoma shule za kishua maana kwanza alikuwa anaenda kulala kwa rafiki yake morombo , amekata tiketi basi la kapricon la arusha kwenda korogwe anakosoma....halafu binti wa form six kudanganywa kirahisi vile na huyo afande wala haiingilini eti alimwambia tupite huku kwenye Giza totoro uwanjani kuelekea ofisi za ffu....hebu niishie hapo
The game continues,pale wanaposahau kwamba watanzania tume elimika.
Tena kwa lazimaItakuwa wanataka kukamata fursa
kwa sisi wakorofi hajabakwa ila walimfumani tu gheto kwa msela wameamua kubambikia kesiNiwatake radhi wakati ukorofi mmeuonyesha dhairi alafu mnasaha swala la umri na vidato lkn npe mawazo yako au ww unaonaje?
Ahaaaaaa loh
Kuna mtindo wa kurusha watoto madarasa ya chiniKatika hali ya kawaida na elimu ya Tanzania imenishangaza moja ya habari kutoka mkoa korofi arusha kuwa binti wa miaka 16 eti kidato cha sita kuna FFU mmoja kambaka sitaki kuongelea kuhusu kubakwa na kubaka lakini najaribu kujiuliza hivi hao watoa taarifa au upande wa walalamikaji katika hyo kesi walishindwa hata kubuni uongo unaofichika? Kuhusu elimu ya binti najaribu kufikiri tena kwamba alianza darasa la kwanza akiwa na umri wa miaka 3? Alafu standard 7 alimaliza akiwa na umri wa miaka10? Elimu ya secondary alimaliza kidato cha 4 akiwa na miaka 14? Daaaah naona kama upande wa walalamikaji wabadili umri wa binti au wabadili taarifa za vidato