Miaka 10 ya umoja switch wazinduliwa jijini Dar es Salaam

RAHA KAMILI

JF-Expert Member
Dec 5, 2014
203
83
Afisa Mtendaji Mkuu wa Umoja Switch Bw Danford Mbilinyi Akizungumza na Vyombo vya Habari leo wakati wa Uzinduzi wa Maadhimisho ya Miaka 10 ya UMOJASWITCH.

Afisa Mtendaji Mkuu wa Umoja Switch Bw Danford Mbilinyi Amezindua Amezindua Rasmi Maadhimisho ya Miaka 10 ya Umojaswitch..Katika Hotuba yake aliyoitoa kwa Vyombo vya Habari Amesema Miaka 10 iliyopita Benki ndogo zilikuwana Changamoto Kubwa ya kuweza Kupatia Huduma za ATM wateja wao kwani Mitaji na Gharama za uwekezaji,Uendeshaji wa ATM na Wigo wao wa utoaji wa Huduma hii Uliwapa Changamoto kubwa.Kutokana na ChangamotoHizo Mabenki Sita Yaliamua Kuanzisha Umoja wao ili Yaweze Kuweka ATM na Kuwezesha Benkihizo Kushirikiana katika Utoaji wa Huduma a ATMKWA Wateja wao,Umoja huo Ndio uliozaa UMOJASWITCH.

Akielezea Zaidi Bw Danford Mbilinyi Amesema kwa Sasa Umoja Switch Ina Jumla ya Mabenki 27 Yanayoshirikana katika Utoaji wa Huduma za Kibenki Kupitia ATMzaidi ya 250 Nchi nzima.Kupitia Umojaswitch Mteja wa Benki Yenye Tawi Moja Inamwezesha Mteja wake Kupata Huduma Sehemu Yoyote Tanzania.

Mafanikio ya Umojaswitch ni Mafanikio ya Ushirikiano na Mabenki Pamoja na Mzingira Wezeshi yaliowekwa na Serikali Kuptia Benki Kuu.Wakti Umoja Huo Ulioanzishwa na Kuanza kutoa Huduma zake Jumla ya Benki sita tu ndio walikuwa wanachama wa Umoja Swich Pamoja na ATM 27 tu.Tofauti na Ssas umoja huo una Wanachama 27 unaotoa Huduma kwa zaidi ya wateja Milionoi 2 kupitia Zaidi ya ATM 250.Mafanikio ya Umoja Huo yanachangiwa na Ubunifu na Huduma zitolewazo na Umojaswitch kama Kuhamisha Fedha Kutoka Benki moja kwenda Nyingine zilizopo ndani ya Umoja huo Kupitia ATM Pamoja na Huduma za Kununua Luku Mpesa pamoja na Kulipia Huduma Mbalimbali Kupitia Hudama za Mobile Banking na zile za Uwakala.

Katika Uzinduzi wa Maadhimisho ya Miaka 10 ya Umojaswitch ni Kutoa Elimu kwa Wananchi Kuhusu Umuhimu wa Mtandao huu na Technolojia kwa Ujumla Katika Kukuza na Kuendeleza Sekta ya Kibenki na Mchango wake katika maendeleoa ya Maisha ya Kila siku, Pia katika Maadhimisho haya Wanategemea Kufanya Shuguli Mbalimbali ikiwemo kuchagiza Matumizi ya Technolojia na Ubunifu Kwenye Vyuo vikuu hapa Nchini kwajili ya kuwa Kichocheo muhimu Katika Maendeleo ya Sekta ya Kibenki h
 
Back
Top Bottom