Mi sisemi........

Status
Not open for further replies.
Hiyo ndio style ya "Kigooooomaaaa aeh kigomaeeee rekadutigite!!!!!!!!!!!!!!!!":dance:
 
Si kwa vile kapigwa para...
Du Jacob Zuma mm nilisikiaga ana wapiga para wenzake hadi kesi yake ya kumbaka mtoto wa rafiki yake aliyekuwa na ukimwi akaenda bafuni kuoga
Bora kuwa na kipililpili ka cha Kabwe
 
matatizo ya kuzoea staili moja mbona prezdaa wa awmu ya tatu nae hachani!!! teh teh teh
 
Hata kushave pia matatizo, sijui hawatumii after shave maana uso umefanya marutu meusi ya kunyoa ndevu bila mpango

Yupo busy na ujenzi wa Taifa hana muda wa kujiremba, na pia hana mke wa Kumuangalia usafi.
 
Yupo busy na ujenzi wa Taifa hana muda wa kujiremba, na pia hana mke wa Kumuangalia usafi.

Mmmh huo ndo ujinga, mwili wake au wa mke.......this is personal grooming for God sake regardless umeoa au haujaoa.
 
Siamini kama watu wazima(kiumri na kiakili) mnajadili cheap things kama hivi!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…