wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 24,973
- 27,209
Wakuu ni j!tatu ingine iliotulivu poleni na mishughhuliko ya kutafuta ridhki!!hv inakuwaje mtu uko uwanjani tena unacheza mpira alafu gafla unasikia mkojo tena unatoka kabisa nje ya uwanja na tena bukta unabinjua pembeni unatoa naniino unakojoa kiroho saafii bila hata hiana na unamaliza kabisa unarudi uwanjani.. gafla hapo hapo baada ya kumaliza lahaulaaa kumbe ni kitandani umeshaharibu hv wakuu hii huwa inakuwa ni ugonjwa gani!!!