View attachment 21340Wana JF jaman mi nikiona vi2 hivi nachelea kuoa kabisa niendelee kufaidiView attachment 21339
View attachment 21340Wana JF jaman mi nikiona vi2 hivi nachelea kuoa kabisa niendelee kufaidiView attachment 21339
nashanga!!!sasa kinacho kuchelewesha kuoa hapa nini?
nashanga!!!
au hizo mewata na miguu isiyokuwa na uvungu?
Huu usemi wa wakosaji..utamaliza bucha....nyama ile ile..:A S-fire1:
Naonaa sio busara kuchukua picha ya mtu facebuk na kuwekaa hapa bilaa izini yake....hii ni tabia chafu