Mi ndoa sitaki labda unigegede tuuuu

Na wewe ukamwambia asubiri ukaombe ushauri jf?
Sijui kama mkeo anajua aina ya mwanaume aliyenaye,samahani lakini ila kama angesoma hapa angekudharau sana.
 
Si uachane naye tu...mueleze kwa hekima na busara kuwa aina hiyo ya utumwa huihitaji...
 

Yaliyopita yamepita, wewe unajua amekutana na nani miaka yote hiyo! usiogope vitisho vyake, mwambie aende kwa mkeo akajieleze kwamba alikua demu wako na mliachana miaka 6 iliyopita.....
 
Mood sijui umelala...niruhusu nitukane kidogo mkuu...kesho ntakupa buku shin jelo!
 
Mwulize mzabzab

Halafu kaadimika humu balaa, au yuko likizo yenye malipo

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Ndo uzuri wa kupiga mpompo wa maana hadi mtoto anachanganyikiwa.
 

Mijitu mingine bana, sijui mwaona fahari kujiumbua, mtu kakuambia ktk miaka 6 mlio achana, wale tu anaojaribu kuwaweka kwenye mizania anaona wako kama 15 wewe wa 16. Hawa ni wale waliojaribu kumfikisha kileleni toka huko bonde la hamu. Akakupimaaaa akaona weye iko juu. Kweli akutukanaye hakuchagulii tusi. Hivi ndugu, tueleze wana JF, ulikaa naye wapi mpaka akueleze upuuzi huo wote na weye ukamwambia kuwa ngoja kwanza nikaulize ushauri JF. Mwambie tumewaona woote wawili nyie ni wap-u-zi kabisa. Nendeni mkaambukizane ukimwi huko ila mkeo tuachie.
 
Yaani humu ndani vitimbi haviishi kila ukizama unakutana navyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…