Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,367
- 2,404
29 okt ndio tutazungumza lugha moja. Jana si leo, Maandishi Tz hayafuatwi. Kama katiba yenyewe inakiukwa mchana kweupeeeee, itakuwa hizo fomu za maadili. Na jana si leo, dunia inakwenda haraka sana. Wanajitambua hawa kuliko unavyofikiria wewe.Unakua mjingamjinga,pitia fomu zile za maadili ya uchaguzi,zilizosainiwa na viongozi wa ACT na wenzao,uone mtu anatakiwa kulinda kura vipi ilhali haruhusiwi.
Kwani kama Act na kauli mbiu yao hiyo ya kulinda kura wameamua kushiriki,si wanatosha. Chadema wamesema hawashiriki. Kifupi wameshamsusia kura mhuni. Nyie mnaolinda kura zenu songeni mbele mkalinde achana na Chadema. Kama Chadema kutoshiriki kunakupa sonona tafuta dawa tu. Kwani utakufa bure. Au hamia Act ama Chaumma29 okt ndio tutazungumza lugha moja. Jana si leo, Maandishi Tz hayafuatwi. Kama katiba yenyewe inakiukwa mchana kweupeeeee, itakuwa hizo fomu za maadili. Na jana si leo, dunia inakwenda haraka sana. Wanajitambua hawa kuliko unavyofikiria wewe.
29 okt ndio tutazungumza lugha moja. Jana si leo, Maandishi Tz hayafuatwi. Kama katiba yenyewe inakiukwa mchana kweupeeeee, itakuwa hizo fomu za maadili. Na jana si leo, dunia inakwenda haraka sana. Wanajitambua hawa kuliko unavyofikiria wewe.
#MHUNI HASUSIWI UCHGUZI - Tuseme usemi huu ni joke ya mwaka na NO REFORM NO ELECTION ndio habari ya mjini, Swali hivi huko nyuma CHADEMA imewahi kususia uchaguzi? Kama jibu ni yes, ilipata nini?ACT is a joke, a big joke in town. 😁
Maneno yako sawia, maana umekuja na jibu, na jibu hilo ndio linafanya watu kuhama chama. Ila swali langu fikirishi , ni nani kati yenu na Mhuni hasusiwi kura na ni yupo sahihi?Kwani kama Act na kauli mbiu yao hiyo ya kulinda kura wameamua kushiriki,si wanatosha. Chadema wamesema hawashiriki. Kifupi wameshamsusia kura mhuni. Nyie mnaolinda kura zenu songeni mbele mkalinde achana na Chadema. Kama Chadema kutoshiriki kunakupa sonona tafuta dawa tu. Kwani utakufa bure. Au hamia Act ama Chaumma
Watu sio wajinga, ila hutafuta majibu nje ya box kama ukiwabana na jibu lako tu.Inamaana wataanza kujitambua oktoba 29, Mpina ameshindwa kulinda jina lake huko kisesa, Ndo atalinda kula za Uraisi?
Watu sio wajinga bhana.
Maneno yako sawia, maana umekuja na jibu, na jibu hilo ndio linafanya watu kuhama chama. Ila swali langu fikirishi , ni nani kati yenu na Mhuni hasusiwi kura na ni yupo sahihi?
Wote wako sahihi, aliyesusia yuko sahihi kwa sababu zake kuwa hawezi shiriki uchaguzi katika mazingira kama yaliyopo maana anajua yaliyotokea 2020 na hata hapa mwaka jana tu. Mhuni yuko sahihi kwani uibaji wa kura wa mwaka huu utakuwa rahisi sana kwake.Maneno yako sawia, maana umekuja na jibu, na jibu hilo ndio linafanya watu kuhama chama. Ila swali langu fikirishi , ni nani kati yenu na Mhuni hasusiwi kura na ni yupo sahihi?
Umelewa au ndivyo ulivyo?ACT - Wazalendo wamekuja na ujumbe muhimu sana "#MHUNI HASUSIWI KURA" na OKTOBA - LINDA KURA.
Ni jumbe kali sana. Napenda kuziwakilisha kwa NO REFORM NO ELECTION, ili tuzijadili hoja hizi mbili kwa kina.
Kwani ni takriban miezi 3 mpaka uchaguzi, hatujachelewa kwa jumbe moja au nyingine, meza inaweza kugeuzwa. Wakati wa maamuzi ni huu.
Hakuna uchaguzi mwaka huu. HAUPO!ACT - Wazalendo wamekuja na ujumbe muhimu sana "#MHUNI HASUSIWI KURA" na OKTOBA - LINDA KURA.
Ni jumbe kali sana. Napenda kuziwakilisha kwa NO REFORM NO ELECTION, ili tuzijadili hoja hizi mbili kwa kina.
Kwani ni takriban miezi 3 mpaka uchaguzi, hatujachelewa kwa jumbe moja au nyingine, meza inaweza kugeuzwa. Wakati wa maamuzi ni huu.
Nathamini mchango wako. Ila kuna wengine wanaamini kuwa uchaguzi upo na hata wengine toka CHADEMA. Hawa wamelazimika kutafuta majukwaa mengine na kuomba ridhaa yakugombea nafasi tofauti kupitia vyama hivyo.Hakuna uchaguzi mwaka huu. HAUPO!
Nashukuru kwa kunielewa nilivyo. Ila nikukumbushe tu kitu kimoja: katika siasa hakunaga 100% ya mawazo sahihi. Kilichopo ni mawazo/idiolojia tofauti yenye lengo la kufika katika kituo kimoja. Hili zingatia, ndio maana huachwa mwanya wa majadiliano, maridhiano na toa na chukua (give and take). Ukishindwa kuishi na hii dhana, acha siasa ingia katika harakati.Umelewa au ndivyo ulivyo?
👍Wote wako sahihi, aliyesusia yuko sahihi kwa sababu zake kuwa hawezi shiriki uchaguzi katika mazingira kama yaliyopo maana anajua yaliyotokea 2020 na hata hapa mwaka jana tu. Mhuni yuko sahihi kwani uibaji wa kura wa mwaka huu utakuwa rahisi sana kwake.